EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Kwahiyo unàkili sasà kwamba ccm huwa wànaiba kura Kama unavyodai Uhuru kaiba huko Kenya?
 
But what about those who mismanage the votes in favour of the ruling incumbent.
No one mismanage the votes in favor of ruling incumbent rather nonsensicity na stupidity of this RAO friend of bogus chattle's boy

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Huwezi kumuunga mkono mgombea urais ambaye anasema atatawala kama Magufuli, Magufuli ni dikteta asiyefuata utawala wa sheria anaamini utawala wa One man show ambao ni mfumo wa madikteta yote duniani, hivyo Wakenya hawahitaji rais jamii ya Magufuli, Kagame, Nkurunziza na Museveni maana wao wanaamini katika utawala wa kidemokrasia
kwa hiyo demokrasia kwenu kumbe ndo hiyo nilikuwa sijui. ccm ina waona ujue na u know what it means
 
chadema walitangaza kuunga mkono chama tawala katika mojawapo wa nchi jirani.

chadema wanadai Kenya kuna demokrasia ila procedure za kutangaza matokeo ukweli zinatia Mashaka! je hii ni demokrasia tunayoiamini wote? naamini hili ni kosa la pili kubwa la chadema kutoka kwa chanzo kilekile.

mkija kufanyiwa nyie msilalamike Kabisa.
Hata Mimi nawashangaa wapinzani wanaofurahia yanayoendelea huko Kenya, nilitegemea waumie na kuwa na hofu kuwa yanaweza kuwapata kama ambayo NASA wanalalamikia pasipo kuzalisha ukweli wake.
Wao wanadhani wana Kimora JPM, wanajisumbua bure kwani Rais wetu hajawahi kuwa na mgogoro na Rais wa Kenya, bali amekuwa na mzozo na Kenya, hivyo haijalishi nani yuko madarakani, maslahi ya Tanzania na ya Kenya hayajawahi kuendana kamwe.
 
chadema wanadai Kenya kuna demokrasia ila procedure za kutangaza matokeo ukweli zinatia Mashaka! je hii ni demokrasia tunayoiamini wote? naamini hili ni kosa la pili kubwa la chadema kutoka kwa chanzo kilekile.
mkija kufanyiwa nyie msilalamike Kabisa.
 
Aliye shinda Kashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Na aliyeiba kura kaiba kura?Sasa uchaguzi wa nini? Kuna haja ya uchaguzi kufanyika kwa namna ambayo utaaminika kuanzia mwanzo hadi mwisho.Ndipo sasa wagombea nao wapewe jukumu ya kuwajibika kukubali matokeo.Ila sio mwizi kumlazimisha aliyeiiwa kukubali matokeo kwa vile yeye ndie anafaidika.Tukifikia huko ndipo tutakuwa watu.Kwa sasa bado sisi ni km nguruwe tuu. hatujui kitakatifu na najisi.
 
Kuivunja amani siku moja inatosha ila kuitafuta amani inachukua zaidi ya miaka kuipata..
Odinga na chama chake lazima wawe makini na kauli zao..
Kila la heri kenya katika matokeo ya uchaguzi
 
Chris's death atanyoa Manyang'ao, amei log in kutokea kaburini!
 
Back
Top Bottom