EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Hivi huyu Ole Lenku ndio aliwahi kuwa waziri wa usalama eah!!? Jamaa yupo vizuri sana basi tu al shabab walimharibia na miugaidi yao
Ni huyo huyo jamaa alitupwa kwenye wizara kali sana lakini ni mzee anayejituma, kwenye management ako sawa! Alifanikiwa sana kwa kazi yake wakati alipokuwa anasimamia Utalii Hotels na Utalii Colleges.
 
Nani akubalishe yaishe?Aliyeshindwa?Aliyeiba kura?Aliyekataa ushindi?Something is very wrong in the way African think.
Kwani kuna aliyekataa ushindi??Aliyeshindwa akubali mkuu kwa nini ang'ang'anie madaraka wakati wananchi ndio wameamua.
 
wangemwacha yule boss bila kumuua, kwasababu kama kushinda jamaa angeshinda tu. ona sasa jamaa kaacha mjane na mayatima, plus maumivu ya muda mrefu kwenye mioyo ya watu.

Ndivyo vilivyo baadhi ya vyeo yaani vyeo vingine ni Sawa kunyweshwa sumu kama ile ya mtu fulani hivi wa hapo bongo aliyenyweshwa ila ishukuriwe hospital ya India ikamuokoa.

Japo, unakuwa unadhania kuwa hutakufa kumbe uliishakufa kiakilia bado kuzima jumla.
 

Vizuri bro. Hali ni tulivu sehem nyingi za Mombasa. Tunaomba kuendelee hivi hivi. PEACE.
 
Kwani kuna aliyekataa ushindi??Aliyeshindwa akubali mkuu kwa nini ang'ang'anie madaraka wakati wananchi ndio wameamua.
Km issue ni aliyeiba arudishe kura? Kushinda au kutoshinda sio issue tena.Kwa vile wizi ndio unaamua mshindi na sio kura.Sasa nani akubali hapo?
 
Vizuri bro. Hali ni tulivu sehem nyingi za Mombasa. Tunaomba kuendelee hivi hivi. PEACE.
Mombasa kitabia sio kenya na violence kwao ina sababu tofauti na chaguzi kwa vile hazina faida na hasara kwao sana ktk maisha ya kila siku. Drama za Kenya zipo Nairobi sana ndio ambapo POWER yote ya kenya imekusanywa pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…