EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Mkoko umealika maua

Nitaenda kuvuta unyunyu kidogo na kurejea

Usibonyeze kidude
 

hapo mwisho sijakupata vizuri mkuu, unanisisitizia kua nisihofu nchi ipo katika mikono salama...

una maanisha nini hasahasa, mikono salama in which aspects, kisiasa, kiuchumi, kisayansi au kijamii? wanadai kua usalama wa nchi na wa taifa kwanza kabisa ni usalama wa chakula then mambo mengine badae.... je nchi ipo salama katika upande wa chakula? maghala ya serikali yana chakula cha kutosha? bei za vyakula zipoje mtaani?
nchi ipo katika mikono salama.... vipi serikali ina ajiri? inapandisha madaraja ya mishahara kwa watumishi? sekta binafsi na kilimo mambo yapoje?
unajua maelezo yako yapo too general mkuu.....
hivi wewe huko ulipo if and only if ndani ya mipaka ya Tanzania huvisikii kabisa vilio vya watu kua pesa imepotea mtaani na maisha yamezidi kua magumu na mabenki yameamua kuwakopesha waajiriwa tu kwakua ndio uhakika wa kurudisha mikopo wanao tofauti na wajasiriamali?

mkuu bado nasisitiza sote hatujawa wakweli kwa nchi yetu bado unafiki unatutafuna mpaka tutubu.... ccm iliuza madini yetu leo ccm hiyohiyo ndio inajifanya iliibiwa.. thats bulshit. upinzani nao hawaeleweki unakutuna na watu kama akina le pro pesa lipumba, na zitto kabwe, na mbowe ambae alisema ove his dead body hawezi mpokea fisadi lowasa.

thats very sad kwakua watanzania hawana watetezi wakweli na wenye dhamira za dhati toka mioyoni mwao
 

Mkuu nchi iko salama katika nyanja zote;
  • Mavuno ni ya kutosha kwa mazao ya chakula, hakuna mtanzania atakufa njaa taarifa za jana toka statistical bureau zina sema mfumuko wa bei umeshuka wa Tanzania ni bora kabisa kwa ktk ukanda wa EAC. uko 5% as compared to KENYA 7% rwanda 6% etc etc
  • Ukiongea na wachumi wabobezi watakuambia serikali huwa inatumia pesa zake katika nyanja hizi; matumizi mengi yanapofanywa kwenye recurrent mzunguko wa pesa huongezeka na maisha kuwa rais, rejea awamu ya nne. Kwa upande mwingine serikali inapoamua kutumia zaidi ktk capital expenditure, maana yake ni serikali kuwekeza katika miundo mbinu, kama reli, barabara, bomba la mafuta ghafi HOIMA-CHONGOLEANI, Hudma za afya kama ujenzi wa zahanati, umwagiliaji kwa kujenga irrigation schemes, miundo mbinu ya umeme kama REA, ujenzi wa viwanja vya ndege na mengine mengi. HAPA WACHUMI WETU HAWAELIMISHI WANANCHI KWAMBA SERIKALI YA WAWAMU YA TANO IMEAMUA KUWEKEZA KWA KUFANYA CAPITAL EXPENDITURE KWA MAANA HIYO UWEKEZAJI HUU UNA TABIA YA KUPUNGUZA PURCHASING POWER LAKINI KUNA LONG TERM BENEFITS PALE MIUNDO MBINU HII ITAKAPOANZA KUTOA MATUNDA. IT IS LONG TERM INVESTMENT. NI SAWA NYUMBANI KWAKO UKIZOEA KUPOKEA MSHAHARA NA KUTUMIA KWA CHAKULA, NGUO NA VIPODOZI, SIKU UKIAMUA KUANZA UJENZI WA NYUMBA WATOTO WATAKOSA MAYAI NA JUICE PIA MAMA VIPODOZI HATAVIONA NA KUMBUKA UJENZI NI KATI YA MIAKA 3 HADI TANO SO TEGEMEA UKATA KWA KIPINDI HICHO. THE SAME NA JPM TUTAMCHUKIA LAKINI BAADA YA MIAKA KUANZIA TANO NA KUENDELEA TUTASHUHUDIA TAMBARARE
  • Ulinzi wa mipaka na mali za wananchi.
 
Scanned copy ya matokeo ndio inayochakachuliwa wakati wa kutransmit! Hivyo kuhakiki scanned copy sio suluhu! Watumie original forms kutoka kwenye vituo vya kupigia kura! Ikiwa Odinga ni mwongo achukuliwe hatua kali za kisheria kwa uchochezi!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
Namwamba na munya wameshafutika kisiasa baada kuangushwa..... mutua na ruto sio wakikuyu hivyo hawaendi kokote

Kwa siasa za kenya zilivo usishangae 2020 ruto akawa timu moja na kina musyoka and family
 
Namwamba na munya wameshafutika kisiasa baada kuangushwa..... mutua na ruto sio wakikuyu hivyo hawaendi kokote

Kwa siasa za kenya zilivo usishangae 2020 ruto akawa timu moja na kina musyoka and family
Oya acha kufatafata comment zangu za zamani afu unaanza kunikosoa! Hujui uzi huu ulianzishwa hata kabla ya kura zote kupigwa? Nilimtaja Munya kama mfano ningejuaje atashindwa! Kama imekuuma kamwalike Raila aje kwako Kolomije. Aah we jamaa behave, unashukshia bana!
 

nakupata mkuu ila bado kuna ukakasi kidogo.... labda kidogo nijitambulishe kwako mimi ni mkulima kwa kupitia kampuni yetu, kwahiyo kuhusu changamoto za kilimo cha hasa mazao ya biashara ninakutana nazo kila siku.. kuanzia mazingira magumu ya kupata mikopo ya pembejeo na ma benk kutokutoa ushirikiano wa kutosha kwa wakulima au watu wenye kutaka kufanya miradi ya kilimo,

well and good, mnapoongelea kua Tanzania ya viwanda na serikali ina jenga miundo mbinu thats why imechukua pesa zote kutoka vyanzo vyote na kuziweka hazina kisha kuzifanyia maamuzi na hivyo basi tuwe wapole na tukubali kupata shida na kufunga biashara zetu mpaka serikali itakapomaliza mambo hayo amabayo umesema ni ndani ya miaka2 au 3, swali langu la msingi ni kwamba je hayo ni matakwa na utashi wa rais na team yako au ndio vipau mbele na mahitaji ya wananchi wengi kwa sasa? je kuna utafiti wowote uliofanyika na kuwauliza wa tz kati ya chakula, ajira, madawa hospitalini, wana chuo kupatiwa mikopo, waajiriwa kupandishwa madaraja nakupatiwa stahiki zao, wastaafu kulipwa mafao yao bila figisu figisu au serikali ikomalie miundo mbinu na sera yake ya viwanda huku watu wakilia njaa?
let us be honest to our country.... this is one man show.... bunge lishakua kichekesho hawana meno tena maagizo kutoka juu yanatekelezeka ndani ya bunge..... mahakama yenyewe mpaka leo haina jaji mkuu... wewe unafikiri ni bahati mbaya au ni mpango mahususi wa kuvidhoofisha na kuipa nguvu executive?
mkuu watanzania hawahitaji tena maneno maneno ya faraja na uzandiki wa kujifanya wanyonge na masikini watakua na maisha bora wakati hali inazidi kua mbaya....
mwisho kabisa hakuna nchi au mtu yoyote anaendelea kimaisha ambae ana matumizi makubwa kuliko mapato yake...... tazama bajeti ya nchi ilivyo then angalia vyanzo vya mapato halafu fanya mahesabu ya kujumlisha na kutoa hapo utaona bila nguvu ya mzungu hayo mambo na mipango ya ujenzi wa viwanda na miundo mbinu havitawezekana kamwe.
 
Raila akishinda ndio atanifanya nguli ya siasa...Jimmy Wanjigi kamkalia kooni kwamba asikumbali ameshindwa mpaka aidha waede mahakamani au nusu mkate....team inayomsapoti Raila wamewekeza pesa nyingi sana kwao kushindwa hawakumbali ndio maana hizi chokochoko zao hazitaisha hivi hivi
 
Yes Mohamed Ali wa Jicho Pevu.Alishindwa kura za maoni ODM ya Odinga, akagombea kama mgombea huru.
 
Rais wetu afanye kazi na rais atakayechaguliwa na wakenya. Kuwa rafiki na mgombea pinzani aliyeshindwa isiwe tiketi ya kutokufanya kazi kwa pamoja kwa maslahi ya wananchi wa nchi hizo mbili. Period
 
Kupitia hizo form za 34A na 34B kazi ya masaa mawili inachukua siku mbili?
 
Tumia mifano tuwajue
 
Ndio huyo huyo wa jicho pevu na aligombeaa kama mgombeaa huru maana kwenye chama walimtosa ,,akaamuaa kugombeaa kama mgombeaa huru na kashindaa,,jamaa kapgana sanaa alijitoaa maisha yake

shushushu VIP

Off Topic
Ikiwa huo mkia kwenye Avater ni wa kwako ni-PM tafadhali nina dili lako mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…