EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Ameshinda una uhakika au unafuata anachokisema yeye..??
RAO alishinda lakini majubilee yakadukua matokeo kwa kutumia nywila ya Chris Msando. Kumbuka baada ya vibaraka wa Uhuru kumuua msando walichukua nywila zake na kuzitumia kudukua matokeo. Kama hufahamu jambo hili ni bora ukae kimya.
 
Well said mkuu
 
Ndo wapo ukumbini mkuu

back soon

Ben saa 8
&
joseverest
 
Wanatangaza matokeo sasa hivi wakati NASA wamekimbia na wamekataa matokeo
 
Sitarajii Uhuru ashindwe na akishindwa nitashangaa sana.

Hiyo ni kwa sababu incumbents Afrika mara 9 kati ya 10 huwa hawashindwi.
Odinga alikuwa na nafasi ya kushinda kama sio "afrika"
 
kura ni "haki" yako
 

Attachments

  • d8a791dd363227292d5e7e5d0038f123.jpg
    23.6 KB · Views: 53
  • 2a7a9313-7efc-4ad7-891a-44c98cbbf420.jpg
    56.6 KB · Views: 63
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…