Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,378
- 1,045
[emoji23][emoji23][emoji23] Miauuu miauu! Dah! Hio logo tu inanikumbusha utotoni na mikanda ya video ya Tom&JerryPia hyu seneta wetu toka chama cha miau miau lazma apite..jembe la ukweliView attachment 561079
nafatilia uchaguzi wenu kwa ukaribu zaidi kupitia azam tv.pongezi kwako kws kutimiza haki na wajibu wako wa kikatiba.Kura nishaipiga. Kuna wale ambao huenda kwenye kituo cha kupigia kura bila kujua yule watakayemchagua. Hawa ndio huwachelewesha wengine.
Hawa wenzetu kwa kweli wametuzidi sana akili. Watu watapanga foleni lakini wao wanajua wanayemtaka na atashinda..
Only Tanzania ambapo watu wanaangalia jambo kwa negative side. Kwa taarifa ivona kamuntu ndiyo best presenter wa kike kwa uwasilishaji habari.
Ni ukweli mkuu, hata hivyo ukisoma na kuelewa waraka huo utaona kwamba kuna ukweli dani yake. Hamna ubishi kwa hilo.Hawa wenzetu kwa kweli wametuzidi sana akili. Watu watapanga foleni lakini wao wanajua wanayemtaka na atashinda..
Mafahari wawili uchaguzi huu una mvuto kuliko ule uliopita
Ila nilichokipenda Kenya demokrasia ya kweli inayotokana na katiba bora waliyo nayo
Mfungwa anampigia kura mgombea urais
Tume huru ya uchaguzi
Police hawasumbui wapinzani
Na vingine vingi
Tofauti kabisa na Tanzania yetu
Katika hali kama hii ukishindwa unakubali kwa moyo mmoja
Hongera sana kenya
Natamani Tanzania iige mfano wenu lakini haiwezekani kuipata katiba tu imekuwa shida
Hehe tarakea hapo wenzangu wanakujaaa!Wakenya baada ya kupiga kura wamekuja kunywa mbege huku rombo wanasikilizia matokeo kimya... Huku redio zote zinashika za kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
All the best Uhuru