EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Nawatakia Uchaguz mwema ndugu zangu wakenya... Msgombane mazee

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Kura nishaipiga. Kuna wale ambao huenda kwenye kituo cha kupigia kura bila kujua yule watakayemchagua. Hawa ndio huwachelewesha wengine.
nafatilia uchaguzi wenu kwa ukaribu zaidi kupitia azam tv.pongezi kwako kws kutimiza haki na wajibu wako wa kikatiba.
 
Best Wishes to all Kenyans. Muwe na uchaguzi wa amani wakati wa kupiga kura na kupokea matokeo
 
e94470760177b1c5c15a257981f4a25a.jpg
2c2cbe2d2aca3a59200ef2f920160dc7.jpg
823c2fff495cb90c91ecb0e9b78f0dcd.jpg
ebe8e74a0e4e064d863b3aca271344f2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wenzetu kwa kweli wametuzidi sana akili. Watu watapanga foleni lakini wao wanajua wanayemtaka na atashinda..
 
Kama maisha yako yote yapo tanzania ndo linakuwa box lako.hufikirii nje ya hapo. Usa na uk wanaweza kukwambia nacho kwambia.coz wana faham image ya brand na publicity... Na utaona hata wenzie wamempiga dongo kidizain...

Only Tanzania ambapo watu wanaangalia jambo kwa negative side. Kwa taarifa ivona kamuntu ndiyo best presenter wa kike kwa uwasilishaji habari.
 
wakati wa kuanza kutangaza washindi ndio kipindi kigumu zaidi kinachowapa hofu wakenya.ndio maana wengine wamekuja kujihihifadhi tz.
 
Mafahari wawili uchaguzi huu una mvuto kuliko ule uliopita

Ila nilichokipenda Kenya demokrasia ya kweli inayotokana na katiba bora waliyo nayo

Mfungwa anampigia kura mgombea urais
Tume huru ya uchaguzi
Police hawasumbui wapinzani

Na vingine vingi
Tofauti kabisa na Tanzania yetu

Katika hali kama hii ukishindwa unakubali kwa moyo mmoja

Hongera sana kenya

Natamani Tanzania iige mfano wenu lakini haiwezekani kuipata katiba tu imekuwa shida
 
Mafahari wawili uchaguzi huu una mvuto kuliko ule uliopita

Ila nilichokipenda Kenya demokrasia ya kweli inayotokana na katiba bora waliyo nayo

Mfungwa anampigia kura mgombea urais
Tume huru ya uchaguzi
Police hawasumbui wapinzani

Na vingine vingi
Tofauti kabisa na Tanzania yetu

Katika hali kama hii ukishindwa unakubali kwa moyo mmoja

Hongera sana kenya

Natamani Tanzania iige mfano wenu lakini haiwezekani kuipata katiba tu imekuwa shida

Wakati wa kupiga kura hua siyo tatizo hata Burundi, tatizo ni wakati wa kuhesabu kura na baada ya kumtangaza mshindi ndiyo demokrasia inapopimiwa.
 
Odinga

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom