Hata mm sitarajii hilo aiseeSitarajii Uhuru ashindwe na akishindwa nitashangaa sana.
Hiyo ni kwa sababu incumbents Afrika mara 9 kati ya 10 huwa hawashindwi.
Namna hiyo...Uhuru anaongoza,kamwacha mbali sana Raila.
Kwa hayo matokeo ni kambi za Jubilee au ni kwa NASA?171/40000+ polling stations U.Kenyatta 49.5% Raila 37%!