Elimu ya hapa na pale
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 846
- 825
ODINGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inavyoonekana elimu kwa mpiga kura haikutolewakumbe wakenya hawana akili namna hii .halafu anaringa eti kapiga kura na anataka mtu wake ashinde
Nawapongeza azam kwa kutuletea live habari za uchaguzi kenya.
Lakini nmesikitishwa na kitendo cha mtangazaj wao mmoja ivony kama sijakosea jina kuvaa socks za miguuni mkononi. Halafu akaamua kutoboa sehemu ya kutolea vidole gumba...
Ina maana hawajamuona kuwa amefanya kitu cha kipuuzi?kwa nini avae socks ? Kama ni baridi ingawa nmeshangaa watu wengi wamevaa kawaida. Basi kwa nini hakununua socks maalum kuliko kuvaa kituko kama hicho? Azam ina maana mmeshindwa kumwambia upuuzi huo?lazima ajue hiyo siyo comedy
Watanzania tunapenda kufuatialia mapungufu ya kijinga tunaacha maswala ya msingi.Only Tanzania ambapo watu wanaangalia jambo kwa negative side. Kwa taarifa ivona kamuntu ndiyo best presenter wa kike kwa uwasilishaji habari.