EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Raila bora aache tu kugombea tena, amwachie Kalonzo next election.
 
Ni bora Uhuru ashinde kuliko huyo Rafiki wa Dikitekta uchwara, mtu yoyote akiwa na uhusiano na kile chama cha wahuni CCM hawezi kushinda labda kwa goli la mkono ni kitu kisichowezekana huko Kenya.
 
4d9f202c833445dfc8bfcb069f38fc65.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
all in all, dalili hii siyo nzuri kwa Raila. LAKINI:
Nilikuwa simpendi Uhuru, lakini kwa vile Raila anarafikika na "Mungu", wacha apite. Akishindwa Uhuru the whole of East Africa will be an empire of DICTATORS! That will be a catastrophe!
Ukawa wote ni uhuru, tajiri yenu kasema. Hayo mengine ni mbwembwe tu !
 
Uhuru Kenyata Anaongoza Kwa matokeo ya awali
1502209795513.png


Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Back
Top Bottom