EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Hakika kila kona ya nchi hii habari zinazobamba ni kutoka nchi jirani ya Kenya, mbali na hii mitandao ya kijamii Twitter, jf &group za whatsap zote habari kuu ni uchaguzi kenya

Hivi watanzania hatuna ya kwetu ya kuyashadadia hadi tuyashikie bango siasa za kenya?
Apite Uhuru au Raila, sie twafaidika nini?

Hebu tuwache unafiki watanzania, leo ni nane nane na kitaifa inafanyika lindi huko kwanini tusilijadili kwa upana hata hili maana linagusa wengi wa watanzania wakulima

Au ndio kusema kenya ni taifa kubwa kulikoa Tz
Mkuu tanua ubongo wako

jirani yako akifiwa utakosa pa

kupita kwenda kazini!
 
Hadi sasa matokeo yanavyo zidi kutolewa na IEBC nchini Kenya ni wazi kwamba rafiki yake mkubwa Magufuli kakataliwa na hii iwe ni muongozo wa matokeo ya uchaguzi wa bongo kwa 2020

In God we trust
Kwa nini mnazungumzia hayo mambo kwenye Jukwaa hili?
Huu ni uchaguzi wa Kenya, why bringing irrelevancies?
 
Back
Top Bottom