EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

lakini Laila anadanganywa na wapambe wake waliodhani atashinda! jamani kwa nyakati za leo watu wanaenda pia na haiba ya mtu. hivi kweli wataacha kuchagua mutoto wa mujini wamchague mtu toka kule porini? Je alikuwa vetted na "Muthaiga club"?🙁😛😀🙂
Saa hii mutu napewa kura mujanja anayejua maisha,siyo kama Tanzania walichagua mutu ya shamba saa hii wanakoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwapo kijana Uhuru na Ruto na chama chao cha Jubilee wakishinda urais, basi wapinzani wa Tanzania watakili:
  • Uchaguzi ulikuwa huru na haki
Ila mwaka fulani hao hao wapinzani walishawahi kumshabikia mzee Odinga na aliposhindwa na kusema ameibiwa kura waliwahi kukili
  • Uchaguzi haukuwa huru na wa haki
Tanzania tuna wapinzani wachumia tumbo, bendera fuata upepo, wanafiki, hawana msimamo, ni wezi wa kiasaikolojia, hawana maadili, hawafai hata kuaminiwa.
Haijalishi, cha msingi Raila chali, maombi ya mange Kimambi yametiki. Asubiri airport ikamilike chattle akamwage chozi apate hata uDc mpakani kule kwa wajaluo
 
Screenshot_2017-08-09-16-49-11.png
IMG_20170809_171404.jpg
IMG_20170809_171340.jpg
IMG_20170809_171352.jpg
IMG_20170809_171801.jpg
 
Hii mambo inaanza kukaaje tena ..woii

What goes around always comes around
Huyo octopizo bangi itakuwa imempanda kichwani , akili itamkaa sawa atakapofikishwa the Hague

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Like father ...like his kisumu sons .Hawa watu wanafanya yale baba yao Odinga anayofanya - uchochezi ,lame excuses na kutokubali matokeo ya demokrasia .
 
Ngoja niweke Citizen Tv nione kinachojiri

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nasikiliza Dw Bon,walipata kumhoji afisa mmoja wa kisumu alidai au alieleza kwamba virugu zilizokuwa zimeanza kutokea wameweza kuzituliza.


Hivyo amani wameirejesha,kisumu ngome ya upinzani ipo shwari.
 
izi picha ni za zamani. lete habari kutoka media za kama BBC na CNN.
hizi zote ni uchochezi na iwapo ungekuwa Kenya ungejipata mashakani kwa kueneza habari kama hizi
 
Back
Top Bottom