EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

kwani Odinga aliamini atashinda ???😵
Sababu zilizomfanya ashindwe 2007, 2012 bado ziko palepale viz. ukabila na ndizo zimemfanya ashindwe tena 2017.

Kama aliamini atashinda, basi kauli hii inamhusu:

"Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results" (Einstein).
 
My Congratulatory remarks be extended to You, My Brother Uhuru Kenyatta on Elected for another term of the office as the President of Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu mimi ni mtanzania ila nmeishi sana kenya hivyo najua nachosema ...... kenya ukabila una matter kuliko kitu chochote both sides na usijifanye hujui walipompa odinga uwaziri mkuu kibaki alidai atasupport transition of power kutoka kwake hadi kwa odinga tafuta ile video ya siku wakizindua katiba mpya hii ya sasa kibaki was clear kabisa kuwa anamsupport odinga kuwa next president kumbe huku nyuma tayari anamuandaa mkikuyu uhuru agombee!!!!

Narudia tena Ruto will neva be the president 2022 yye wanamtumia tu kupata kura za rift valley kwa wakalenjin hukooo ila usishangae 2022 jubilee wakampitisha mkikuyu wa huko kiambu au kirinyaga kuwa Rais wait and see time is a good judge
Hawa n km Ndugu mkalenjin na Mkikuyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa n km Ndugu mkalenjin na Mkikuyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu?? Mbona walichinjana 2007 hadi ruto akachinja wakikuyu kanisani ???

Ukabila kenya ni mpaka kwenye nyumba za dini hivyo usishangae jubilee wakapitisha mkikuyu na wakamchukua gideon moi kuwa mgombea mwenza kupata kura za wakalenjin ila nakuhakikishia ruto hatokuwa Rais wa kenya 2022 mark my words
 
Km iko hivoo basi acha Alishabibi Wawaonyeshe kazi Hao wakikuyu wameona nchi ni ya kwao naona hata Eneo kubwa la aridhi naona wao ndo wamekamata. .alafu hata awajui kulimaaaa. ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom