EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Tuanzie hapa kwanza, kwa tunaojenga servant quoters
 
Kiwanja changu ni cha 15m kwa 10m nahitaji Nyumba ya vyumba vitatu IPI itafaa?
 
Habari wana JF
Nahitaji kujenga shule ya chekechea pia shule ya msingi. Eneo ni lenye ukubwa wa hekari tano, madarasa na ofisi zote ni za kawaida namaanisha sio ghorofa, ukubwa wa madarasa ni kulingana na standards za wizara ya elimu, facilities zote kama viwanja vya michezo nk lazima viwekwe kwenye ramani. Mtaalamu wa Ramani ani PM

Nawasilisha
 
Your ph# au email please
 

piga namba hii apa..
Huyu jamaa ni arctect mzuri saaana..
Mimi alishabicholea

0757399280
 
Mpigie dada mmoja alinichorea shule hakika hutajuta, ni mkali hakika. Namba yake 0713816000
 
Nitafute kwa 0688736202, ramani ya design yoyote unayohitaji utachorewa
 

nipm.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…