Jerhy
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 3,134
- 998
Safi sana...nowdays archtects wapo wengi sio kama zamani...!
Pamoja sana!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana...nowdays archtects wapo wengi sio kama zamani...!
Kiwanja changu ni cha 15m kwa 10m nahitaji Nyumba ya vyumba vitatu IPI itafaa?
Nichek pia 0757464746, whatsapp number
Kitchen side
Hii nyumba kali sana
Your ph# au email pleaseHabari wana JF
Nahitaji kujenga shule ya chekechea pia shule ya msingi. Eneo ni lenye ukubwa wa hekari tano, madarasa na ofisi zote ni za kawaida namaanisha sio ghorofa, ukubwa wa madarasa ni kulingana na standards za wizara ya elimu, facilities zote kama viwanja vya michezo nk lazima viwekwe kwenye ramani. Mtaalamu wa Ramani ani PM
Nawasilisha
habari wana jf
nahitaji kujenga shule ya chekechea pia shule ya msingi. Eneo ni lenye ukubwa wa hekari tano, madarasa na ofisi zote ni za kawaida namaanisha sio ghorofa, ukubwa wa madarasa ni kulingana na standards za wizara ya elimu, facilities zote kama viwanja vya michezo nk lazima viwekwe kwenye ramani. Mtaalamu wa ramani ani pm
nawasilisha
Habari wana JF