EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Njoo PM mkuu.. kwa Gharama Nafuu unapata Ramani yenye
1.Floor Plan
2.Foundation Plan
3.Front and Rear Elevations
4.Right and Left Side Elevevations!
5.Roof Plan
 
Suala la ramani sio kazi ya kitoto ndugu zanguni... Napenda kuwatahadharisha watu wote ambao wamekuwa na uhitaji wa ramani za nyumba kisha kuamua kuchukua ramani ya mtu mwingine na kuifanya yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1067920
 

Attachments

  • 26196317_328168891001526_6505144149312989517_n.png
    26196317_328168891001526_6505144149312989517_n.png
    64.1 KB · Views: 67
Doltu Architects offers design and planning services for new construction, renovations and additions for commercial and residential projects.
0654003555
zanz pic 8.jpg
zanz pic 9.jpg

hocho pc9.jpg
 
Kama kichwa hisika, nahitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitano, ila bajeti yangu kwa ajili ya ramani ni ndogo kama kuna mtu anaweza nisaidia kwa hiyo bajeti ambayo tunaweza negotiate karibu sana [emoji1488]
 
Bajeti ndogo una maanisha ngapi mkuu? Kuna mtu milioni mbili ni ndogo na kuna mwingine milioni 200 ni ndogo,unapaswa kuwapa watu muongozo wa nini unataka na isizidi kiasi gani. Kila la heri kwenye maandalizi ya ujenzi mkuu.

macson
 
Nipende kuwapongeza WanaJF wote waliojitokeza katika kusaidia watu wote wenye uhitaji wa ramani za nyumba...

Rai yangu kwa wataalam wote ambao watafanikiwa kuonana na wateja hao ni kwamba wanatakiwa kufanya kazi hizo kwa weledi bila kukiuka maadili na miiko ya taaluma zao... Ahsanteni sana...
 
Back
Top Bottom