EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Wakuu habari zenu!

Nina kiwanja cha 60m*30m ningependa kupata ramani nzuri.

Nyumba ninazohitaji ni za kupangisha na zenye sifa zifuatazo:
1. Ziwe tatu ndani ya kiwanja cha 60m*30m.
2. Nyumba iwe na vyumba 2 kimoja self, seating room, dining room, kitchen, store na choo/bafu public lakini vimo ndani ya nyumba.
3. Zizingatie privacy ya wapangaji pia independent.

Needed immediately. Kazi kwenu wataalam na zinahitajika mapema sana.
Mkuu ni check tufanye kazi 0786328632
 
KIWANJA KIDOGO HICHO KWA MAHITAJI HAYO YOTE...MANAKE NYUMBA ITAKUWA HAINA HATA PARKING..SEPTIC TANKS...PRIVACY HAITAKUWEPO KWA MAANA KUTAKUWA NA UZITO KUZITENGANISHA KWA UFINYU HUO WAKIWANJA..NA KAMA UKIFANIKIWA KUJENGA..VYUMBA VITAKUWA VIDOGO MNOOO.NYUMBA HIZO LABDA UZIGEUZE HOSTEL KWAKWELI.
Mkuu, unaweza kusema ni kiwanja kidogo ila nimeshafanikisha zoezi kwa nyumba nilizotaka na zaidi moja kati ya hizo tatu ni kubwa ya vyumba vitatu pamoja na makorokocho yote ya nyumba ya kisasa.
Kiwanja kimebaki kikubwa parking kubwa, kisima kimechimbwa na miti ya matunda imepandwa. Pia watu wa ujenzi wamebariki na kibali cha kujenga kikatolewa.
 
Habari za asubuhi bandugu.Ni siku nyingine tena ambayo Mimi nimegoma kabisa kujishirikisha na ujenzi wa taifa,nataka nijenge nyumba yangu.
Msaada unahitajika mwenye kuwa na utaalamu wa kuchora ramani na BOQ Yake ya residence house please PM ipo wazi.
N.B:uwanja una 30 M *20 M
Nawasilisha
 
Nilipopata wazo la kujenga nyumba nilibuni nyumba yangu iweje,kisha nikachukua karatasi na kalamu nikaanza ku-sketch kulingana na specifications zang kwani sikutaka ku- complicate na ramani za mitandaoni.

Nikaitunza idea yangu ulipofika wakati nikamtafuta fundi nyumba ikajengwa na hapa ninapoandika nipo home kwangu.
 
BOQ It's not applicable kwa project yako, acheni kusikia maneno na kuyaiga tu, we omba ramani kwa architect akuandalie na schedule of materials kisha anza kujenga.
 
Nilipopata wazo la kujenga nyumba nilibuni nyumba yangu iweje,kisha nikachukua karatasi na kalamu nikaanza ku-sketch kulingana na specifications zang kwani sikutaka ku- complicate na ramani za mitandaoni.

Nikaitunza idea yangu ulipofika wakati nikamtafuta fundi nyumba ikajengwa na hapa ninapoandika nipo home kwangu.

In future uenda ukalazimika kubomoa kuongeza ama kubadilisha vitu. Mimi siyo hao wachora lakini nimekuja kujua umuhimu wao baada ya ndugu yangu mmoja kutumia utaratibu kama wako na mwisho kufanya marekebisho mara kwa mara kitu kinachopelekea gharama zaidi.

Ukiwatafuta hawa wataalamu ( uwe makini kuna wengine wana-copy kwenye mitandao) wanaweza kukuchorea ukajenga kwa awamu. Mimi nilifanya hivyo. Anakutolea picha za 3D zikionyesha nyumba ikiisha itakuwaje kwa kweli mleta uzi nakushauri ufanye hivyo hutajuta.

Pia gharama si kubwa kihivyo si unajua waTZ tunavyopendana na tunavyosaidiana - hiki kitu kipo sana tu na unaweza usikione hadi uende sehemu nyingine ambako hakipo. Mimi jamaa alinitoza 400,000/= lakini sijawahi kujuta, kuna wengine wanasema eti uwalipe 10% ya gharama za ujenzi, lkn ukiongea na baadhi gharama ni ndogo sana.
 
Habari za asubuhi bandugu.Ni siku nyingine tena ambayo Mimi nimegoma kabisa kujishirikisha na ujenzi wa taifa,nataka nijenge nyumba yangu.
Msaada unahitajika mwenye kuwa na utaalamu wa kuchora ramani na BOQ Yake ya residence house please PM ipo wazi.
N.B:uwanja una 30 M *20 M
Nawasilisha
0712046129
0757407622
Mtafute anaitwa EMANUEL
 
Nimekuelewa lakini sijawahi kujuta wala kufikiri kuimodify.
 
Habari za asubuhi bandugu.Ni siku nyingine tena ambayo Mimi nimegoma kabisa kujishirikisha na ujenzi wa taifa,nataka nijenge nyumba yangu.
Msaada unahitajika mwenye kuwa na utaalamu wa kuchora ramani na BOQ Yake ya residence house please PM ipo wazi.
N.B:uwanja una 30 M *20 M
Nawasilisha
Ninae jamaa mmoja ni balaaaaa 0713368560 mwambie umepewa na George wa bunju huyo ni shida
 
[QUOTE="Nyati, post: 28542681, member: 14249"]In future uenda ukalazimika kubomoa kuongeza ama kubadilisha vitu. Mimi siyo hao wachora lakini nimekuja kujua umuhimu wao baada ya ndugu yangu mmoja kutumia utaratibu kama wako na mwisho kufanya marekebisho mara kwa mara kitu kinachopelekea gharama zaidi.

Ukiwatafuta hawa wataalamu ( uwe makini kuna wengine wana-copy kwenye mitandao) wanaweza kukuchorea ukajenga kwa awamu. Mimi nilifanya hivyo. Anakutolea picha za 3D zikionyesha nyumba ikiisha itakuwaje kwa kweli mleta uzi nakushauri ufanye hivyo hutajuta.

Pia gharama si kubwa kihivyo si unajua waTZ tunavyopendana na tunavyosaidiana - hiki kitu kipo sana tu na unaweza usikione hadi uende sehemu nyingine ambako hakipo. Mimi jamaa alinitoza 400,000/= lakini sijawahi kujuta, kuna wengine wanasema eti uwalipe 10% ya gharama za ujenzi, lkn ukiongea na baadhi gharama ni ndogo sana.[/QUOTE]
Kwanini?
 
Mkuu umesema pm iko wazi naona hujanijibu wala kunicheck......by the way zingatia ushauri wa hapo juu sana coz kila mtu ni mjanja siku hizi.....pia nipo na group la ujenzi rahisi humo utapata majibu ya kilaunacho kihitaji ukipenda waweza nichek nikakuunga.....kila la heri
 
Habari za asubuhi bandugu.Ni siku nyingine tena ambayo Mimi nimegoma kabisa kujishirikisha na ujenzi wa taifa,nataka nijenge nyumba yangu.
Msaada unahitajika mwenye kuwa na utaalamu wa kuchora ramani na BOQ Yake ya residence house please PM ipo wazi.
N.B:uwanja una 30 M *20 M
Nawasilisha

nikupongeze kwa maamuzi ulioamua kuchukua.
nikushauri machache

1. njia bora zaidi ya kupata architect ni kupitia recomendation kutoka kwa mtu unaethamini ushauri wake.

2. ukiwa na muda kutana na hata architects wawili au watatu ili uweze kupata mtazamo wao, uzoefu wao, uone kazi zao kama ikiwezekana ata ukatembelea moja ya kazi yake site ukaona namna alivyo involved na anavyo elewa kazi yake.

3. kuna levels tofauti za elimu, ujuzi na uzoefu nikuwekee makundi baadhi wa chini kabisa ni wanafunzi walio miaka ya kumaliza shule au waliomaliza recently hapa tegemea unafuu na exposure ndogo, kuna walio practice kwa miaka michache chini ya mitatu hapa tegemea uzoefu mzuri na uelewa wa ujenzi kwa vitendo na idadi flani ya miradi, kuna wenye uzoefu na waliosajiliwa hapa baadhi wana makampuni au wako attached na makampuni hapa wanaweza kua na gharama kdg na uzoefu wa kutosha wanafahamu sheria na wanaweza weka tija kubwa kwenye kazi yako, na kuna high end professionals, hawa wanamiliki makampuni labda wana experience ya miaka 10+ hawa kwa kazi ndogo hawatakufaa. nakushauri u opt kati ya wenye uzoefu wa mtaani atleast 2+ years au waliosajiliwa.

4. jitaidi kufahamu unachotaka, mahitaji yako ya nyumba ya namna ipi, unabudget gani, unajenga kwa phases kwa income lumpsum na timing gani, una mpango wa kuhamia au utajenga polepole, una kiwanja kina status gani? nk ili ukiwa na maongezi nae basi uwe clear na what you really need

5. akueleweshe clearly kazi inafanyika kwa gharama gani, malipo ni kwa ustaarabu upi, je ana deliver nini na wakati gani yani anamajukumu gani, unaweza pia uliza maswali ya kichokozi kama, cost ni laki 4 kwa nini sio laki 5 au 7 uone uelewa wake wa mambo ukoje.. nk. pia akueleze hatua za ujenzi zikoje na yeye atawajibika wapi? (maandalizi ya michoro, vibali, material sourcing, sourcing ya mafundi, planning ya ujenzi, usimamizi, ukaguzi nk).

Note: kazi kubwa ya architect sio kukuchorea ramani tu, sbb kama ni ramani ziko nyingi tu internet unaweza download.. au kununua. kazi yake ni kukushauri mchakato mzima wa ujenzi ikiwemo ramani kama sehemu ndogo tu. kutumia mil 50 kwenye ujenzi ni jambo la kawaida na inaweza isitoshe kwa 3-4 bedroom house, ukiweza kupata mtu sahihi wa kukushauri katika huo mchakato basi naamini utakua katika mazingira mazuri ya project yako.

in the spirit ya kujenga taifa, naweza kujitolea kukusaidia kukushauri kama third party ukapata mtu unaemhitaji.
 
Doltu Architects offers design services for commercial and residential projects.
This house plan is a 4 bedroom 1 storey house which can be built in 20.0m to 25.0m lot.The ground floor plan consist of a porch which is roofed.The living room which is 4.5X4.6 meters.The combined dining and kitchen(small store).4 bedroom including master bedroom.public toilet.
contacts: 0654003555
ney 4.jpg
mjmj.jpg
 
Back
Top Bottom