Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ramani mill.5? khumarnhyokho!
Angalia hii perspective view ukitaka ramani yake uongee kwa kirefu zaid
Vumba vngapi hii
HahahahahaRamani mill.5? khumarnhyokho!
Sa unataka ujue I'll iweje, hiyo ni view tu! Subiri akupe 5m umpe set yoteWewe ni 1st yr?
Ni insane zaidi, yule anayemwambia mtu ampe milioni 5 amchoree ramani ya nyumba yenye vyumba viwili. Tunafahamu kuwa hizo ni kazi za watu, ila unaonyesha hizi wala si kazi zako!Infact u r insane.., hizo ni kazi za watu..., usichukulie poa..
Hata kama hawezi kuchora mwenyewe, ni kujaribu kuonyesha mbwembwe tu za kijinga kumwambia mtu kama huyu aliyeleta uzi hapa kuwa ramani ya nyumba yenye vyumba viwili itamcost shilingi milioni 5!Watu wengine siku hizi sijui akili zao wameficha wapi! Kama anaona ni rahisi achukue karatasi achore mwenyewe!
Sina hakika na userious wa mlete uzi na pia sina hakika na reputation ya aliyemjibu ila vyovyote vile usanifu majengo ni taaluma kama taaluma nyingine ni vyema iheshimiwe, yeye anaomba ramani bure wakati mchimba msingi hawezi kumchimbia msingi bila malipo!Hata kama hawezi kuchora mwenyewe, ni kujaribu kuonyesha mbwembwe tu za kijinga kumwambia mtu kama huyu aliyeleta uzi hapa kuwa ramani ya nyumba yenye vyumba viwili itamcost shilingi milioni 5!
Sijaona neno "bure" kwenye post ya huyo mtu!, bali nimeona "kusaidiwa"! Sasa kusaidiwa haina maana mtu huyo anataka bure, lakini anaonekana sio mtu wa kuambiwa atoe shilingi milioni 5 kwa ramani ya vyumba viwili. Ni mbwembwe tu!Sina hakika na userious wa mlete uzi na pia sina hakika na reputation ya aliyemjibu ila vyovyote vile usanifu majengo ni taaluma kama taaluma nyingine ni vyema iheshimiwe, yeye anaomba ramani bure wakati mchimba msingi hawezi kumchimbia msingi bila malipo!
watu wanatoa ramani hata kwa 20,000 ama 50,000 ila mtu akudisqualify namna hiyo...anyway aliyesema atamchorea kwa mil 5 alisema kwa dhihaka ama ramani zake anakupa ikiwa imeshajengwa kabisa kufikia usawa wa madirisha!Sijaona neno "bure" kwenye post ya huyo mtu!, bali nimeona "kusaidiwa"! Sasa kusaidiwa haina maana mtu huyo anataka bure, lakini anaonekana sio mtu wa kuambiwa atoe shilingi milioni 5 kwa ramani ya vyumba viwili. Ni mbwembwe tu!
Bei?Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans.
Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi
Karibu sana
0654919121
0758919121
0622060797
0683928358
Maoni Maswali Nitafute kwenye hzo namba hapo juu [emoji121]![]()