EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Kwa usawa huu hiyo nyumba kubwa sana. Nyumba safi na ya kisasa ni room tatu tu zinatosha+sitting room,dinning,jiko,stoo na vyoo vya ndani. Ramani yake utapata wateja kiurahisi kuliko huo mhekalu.
 
Kwa usawa huu hiyo nyumba kubwa sana. Nyumba safi na ya kisasa ni room tatu tu zinatosha+sitting room,dinning,jiko,stoo na vyoo vya ndani. Ramani yake utapata wateja kiurahisi kuliko huo mhekalu.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Kama heading ya post yangu inavyojielezea, nahitaji architect mzuri. Kiwanja kipo mwanza. Aliyetayari ani-pm
 
Kuwa makini na hawa architect wa mtandaoni, wana usanii mwingi. Hawachelewi kudai hela zaidi ya ile uliyokubaliana nao maana hakutumii mchoro mpaka utume pesa na ukituma anaweza kudai zingine.
 
Wakuu naomba kwa anayemjua mchoraji mzuri wa nyumba anayechaji bei nzuri aniunganishe nichorewe mchoro wa picha ya jengo niliyonayo.
PM tafadhali. Nahitaji mpaka kufikia ijumaa ya wiki ijayo niwe nimechorewa.
Asanteni sana....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-07-30-15-38-12.png
Screenshot_2017-07-30-15-37-26.png
0ce040cddf8954f924e652445d41feaf.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom