EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

View attachment 554158View attachment 554159
0ce040cddf8954f924e652445d41feaf.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi nzuri..!! Ila naona bado unajifunza ArchiCAD. Also kwenye designing improvemnt inahitajika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yenye vyumba 3@4m na masters 5.5 m
Living m 6
Dining na jiko
Staff toilet 1.5 m
Store
Iwe na outlet 2 kwenye living na jiko

Madirisha milango ni opt ya mchoraji kuwa iwe size ngapi

Iliyokokotolewa tofali za kuchoma za inch 4 na mabati, kenchi nk

Kama upo hapa dar tuwasiliane, weka namba yako hapa takupigia
 
Yenye vyumba 3@4m na masters 5.5 m
Living m 6
Dining na jiko
Staff toilet 1.5 m
Store
Iwe na outlet 2 kwenye living na jiko

Madirisha milango ni opt ya mchoraji kuwa iwe size ngapi

Iliyokokotolewa tofali za kuchoma za inch 4 na mabati, kenchi nk

Kama upo hapa dar tuwasiliane, weka namba yako hapa takupigia
Ardhi ni flat kiwanja ni low density
 
Wadau kiukwelike mzee mwenye nyumba kanikwaza sana, hivyo nimeona nijenge nyumba vyumba viwili na sebule haraka sana nihamie kwangu niishi hivyo hivyo huku nakomaa kumalizia nyumba kubwa hapo hapo ambayo ipo kwenye ujenzi

Hivyo naomba mwenye ramani upload hapa nione nahitaji simple tu ramani ila nzuri

Kupanga nimechoka.
 
Ninazo nyingi, ila ni kwanini unataka upewe bure? Kama una Mil.5 sema niku-uploadie set full.., hahahahah
 
Wadau kiukwelike mzee mwenye nyumba kanikwaza Sana, hivyo nimeona nijenge nyumba vyumba viwili na sebule haraka Sana nihamie kangu niishi hivyo hivyo uku nakomaa malizia nyumba kubwa hapo hapo ambayo ipo kwenye ujenzi

Hivyo naomba mwenye ramani upload hapa nione naitaji simple tu ramani ila nzuri

Kupanga nimechoka.
Ingia Google image's zipo kibao
 
Ramani mill.5? khumarnhyokho!
Hili ndio tatizo la kuchukulia poa fani za watu..., hahahaha..., tafuta firm yoyote kawaambie unataka ramani ya nyumba vyumba viwili, alafu tuletee mrejesho..., hahah
 
Back
Top Bottom