Naomba niongeze yangu kidogo...
1.mtu akitaka kwenda nje kutokea jikoni ni lazima apite great room au laundry/pantry, vipi kama hapo kuna shughuli zinaendlea au kwa great room kuna wageni pitapita ya mara kwa mara haijakaa poa
2.vyoo vipo karibu mno na jiko la kupikia kibongobongo tutaweza kweli?
3.kuna ki verrandah kipo pembezoni mwa k/yard matumizi yake ni nini haswaa??
4.br1 cjui dimension zake ila kwa jicho langu naona umepabana sana
Anyways presentation ya mchoro imekaa poa kila kitu kinaeleweka nimependa masterbedroom ulivoitenga