You are a draftsman, not an architect.Michoro nimechora mwenyewe. Nilikuwa nampa mfano. Bahati mbaya ni mtindo ya ulaya, kusudi ya kuweka sebule nyuma ni kuweza kuaona garden. Kwenye Kitchen yard kuna ukuta.
I am a civil draftsman not an architectYou are a draftsman, not an architect.
Naomba niongeze yangu kidogo...
1.mtu akitaka kwenda nje kutokea jikoni ni lazima apite great room au laundry/pantry, vipi kama hapo kuna shughuli zinaendlea au kwa great room kuna wageni pitapita ya mara kwa mara haijakaa poa
2.vyoo vipo karibu mno na jiko la kupikia kibongobongo tutaweza kweli?
3.kuna ki verrandah kipo pembezoni mwa k/yard matumizi yake ni nini haswaa??
4.br1 cjui dimension zake ila kwa jicho langu naona umepabana sana
Anyways presentation ya mchoro imekaa poa kila kitu kinaeleweka nimependa masterbedroom ulivoitenga
Which means, you can make structural design and detailing(and wait approval from the Engineer!)I am a civil draftsman not an architect
Mkuu ncheki hapa tufanye kazi,si unahitaji structural detailing??Which means, you can make structural design and detailing(and wait approval from the Engineer!)
If that is true, please pm me!
Mkuu jamaa aneshindwa kujieleza yeye ni zao la vyuo vya ufundi veta wanatoa coz inaitwa civil draughting ambayo mhitimu akimaliza chuo anakuwa na uwezo wa kuandaa Architectural works kwa kusimamiwa na Architect for approval kama ni hivo jamaa nampa big up kwa kazi anayofanya coz veta hutoa certificateWhich means, you can make structural design and detailing(and wait approval from the Engineer!)
If that is true, please pm me!
Mkuu ncheki hapa tufanye kazi,si unahitaji structural detailing??
CAD gani unatumia mkuu maan zipo nyingiNitakuchek kwa lengo la kubadilishana mauzoefu, kwan na mimi hufanya hizo Structural Design and Detailing(hapa natumia Master Series na CAD)
Computer Aided Design na kwa hapo nilimaanisha AutoCad 2013CAD gani unatumia mkuu maan zipo nyingi
Nimekupata mkuu mi natumia version 2015Computer Aided Design na kwa hapo nilimaanisha AutoCad 2013
Ok, uko makini na toleo jipya kaka. Hata hivyo AUTOCAD Basic ni ile ya 2007Nimekupata mkuu mi natumia version 2015
Lol.....Tanzania mnadharau professional za watu eeehh....hiyo laki mbili labda upate mwanafunzi Wa Architecture....mbona umejikadiria nyingi sana...ila ukipata nipe nitoe copy....
Njoo inbox mkuu....upate ramani yenye hadhi....Vyumba 3
mikoja master bed room
master bedroom isiwe corridor moja na the vyunba vingine
sitting room na dining room visiwe na mlango wa kuingilia vyumba 3 tajwa hapo juu
Kitchen iwe na stoo
kiwanja ni 19x18
kibaraza cha nje sehemu ya jiko na kuingilia sitting room viwepo.
bughet laki 2
Hii nyumba itakuwa ya mvuta bangi au kichaa, kwahiyo mlango wa kuingilia sitting room utakuwa chooniVyumba 3
mikoja master bed room
master bedroom isiwe corridor moja na the vyunba vingine
sitting room na dining room visiwe na mlango wa kuingilia vyumba 3 tajwa hapo juu
Kitchen iwe na stoo
kiwanja ni 19x18
kibaraza cha nje sehemu ya jiko na kuingilia sitting room viwepo.
bughet laki 2