EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Ndio mdanganye watu na ramani zenye makosa kibao, ni vizuri ukaangalia namna nyingine ya kupata hii fee. Angalia usije ukaishia jela!!

Kaka sijui kama unaelewa unachokiandika hapa wakati mwingine kama huguswi na dhiki ya mtanzania mwenzio anaejaribu kujisomesha baada ya kunyimwa mikopo uwe unanyamaza kimya!
 
Zipo nyingi tu, hata ukihitaji kupata design yk pia inawezekan
 
Kaka, hivi msingi wa ghorofa unakula milioni ngapi kwa kukadilia. ...ntapata ramani nzuri ya ghorofa isiyo na mbwembwe nyingi lkn ya kijanja?

Soil test ndiyo inasema msingi unachezea milioni ngapi, nicheki kwa nambari ya simu hapo juu
 
Kaka, hivi msingi wa ghorofa unakula milioni ngapi kwa kukadilia. ...ntapata ramani nzuri ya ghorofa isiyo na mbwembwe nyingi lkn ya kijanja?

Gorofa zipo tele, simu ipo juu hapo
 
Ulichokiona ndio kinachofanyika, njoo na sketch yako upate design
 
Back
Top Bottom