Exclusive: Yanga yachezea kichapo kizito kwa KMC

Exclusive: Yanga yachezea kichapo kizito kwa KMC

Nyie shangilieni,kashinde mechi ya fa tuonane nusu fainali............
 
Yanga wamefanya mbinu tu ya kupunguza msongo wa mawazo ulokuwepo kwa team ya KMC kwa sababu ya Virusi vya Corona na wakihofia kushuka daraja,Yanga wana roho nzuri sana.
 
Back
Top Bottom