Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papii Kabamba Tshishimbi
Hakika ulinenaNajua wana Simba SC watataka kusikia kwamba Kesho kuna ushindi ila kwa nilichokipata kutoka mahala pangu ambako siku zote ndiyo huwa nahakikishiwa ushindi wa Simba SC dhidi ya Yanga SC nawaomba Wanasimba wote tujue tu kuwa mpira wa Miguu siku zote una matokeo makubwa matatu ambayo ni:
Naomba niishie hapa tafadhali.
- Kushinda
- Kutoka sare
- Kufungwa
Huwezi kushindana na raia wa nchi hii siku hizi wanapiga kitochi, baada ya saa moja anakwenda dukani nusu glass anaendelea na shughuli zake nyie bakieni na viroba [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Naiomba serikali iangalie upya swala la viroba maana hii akili sio ya kawaida lazima inachembe ya kiroba