Exclusive: Zilizonifikia hivi punde tu kutoka Kambini Yanga SC

Exclusive: Zilizonifikia hivi punde tu kutoka Kambini Yanga SC

Balance story. Lete upande wa pili. Mganga wao wa Unguja kasema nini?
Only in Tanzania!
 
Najua wana Simba SC watataka kusikia kwamba Kesho kuna ushindi ila kwa nilichokipata kutoka mahala pangu ambako siku zote ndiyo huwa nahakikishiwa ushindi wa Simba SC dhidi ya Yanga SC nawaomba Wanasimba wote tujue tu kuwa mpira wa Miguu siku zote una matokeo makubwa matatu ambayo ni:
  1. Kushinda
  2. Kutoka sare
  3. Kufungwa
Naomba niishie hapa tafadhali.
Hakika ulinena
 
Naiomba serikali iangalie upya swala la viroba maana hii akili sio ya kawaida lazima inachembe ya kiroba
Huwezi kushindana na raia wa nchi hii siku hizi wanapiga kitochi, baada ya saa moja anakwenda dukani nusu glass anaendelea na shughuli zake nyie bakieni na viroba [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom