[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ushimen ile bangi uliyomuuzia imepanda kichwanii..
Asante sana.karibu mkuu
SijamboJambo veve
MmmhhSijambo
VipiMmmhh
Sijambo hiyo veep hata kuniuliza naendeleaje woiiVipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nipo Zimbabwe,kiswahili sikijui vizuri lkn kwa ninacho kiona kwako kumbe Deogratias Kisandu ana unafuu mkubwa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana sijutii hata kidogo kwakua wasomi wengi ndio wajinga... msinielewe vibaya najibu kulingana na elimu yangu
Nimetamani jf kungekuwa na voice notes mana nimecheka hadi machozi yamenitoka. Hii kali aisee.Hahaahhaaha!. Nimecheka sana Mkuu, maswali na majibu unayojijibu.
Hahaha!.
Hii kali sana kutokea jf. Lolkuachana na demu mmoja hivi bila kumpiga mambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahahahhahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha.
Mods ngoja niwasaidie kuweka stick huu uzi
[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]
Bora umsaidie mkuu. Mana ametamani kuhojiwa ila hajapata wa kumuhoji mpaka anajihoji mwenyewe.Acha mimi nikuhoji Jeremiah
Hapana aisee acha wengine tuwe wasomaji