Exclusivee... naji Interview mwenyewe

Exclusivee... naji Interview mwenyewe

bhangi zimekata mkuu nini? ukipata starter njoo tena.
 
Nimetamani jf kungekuwa na voice msg mana nimecheka hadi machozi yamenitoka. Hii kali aisee.
Hahaha!. Mimi Leo nimetoka kwenye majukumu, asee nimecheka mno.

Kungekuwa na voice notes, ungesikia anauliza swali kwa sauti hii alafu anajijibu kwa sauti nyingine.

Aisee, burudani tosha.
 
Naona unakimbizana na shule
IMG_20170826_064412.jpg

Numbisa malezini...
images
 
Back
Top Bottom