Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
PoleNaumwa mie
Nini mbaya mdogo wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleNaumwa mie
Juzi si zishapita siku mbili?? Mi masaa mawili tu nahisi kukumisi...Babu jamanii, si ni juzi tuu tulikuwa twasali kwenye uzi wa Mshana!!!!
Au imekuwaje tena babu akee...
Nimekumiss tu mimi jamanPole
Nini mbaya mdogo wangu
Mmmmh... Babu!!!! Sijakuona online ujue... Halafu ujue na mie nina moyoo wa nyama babuJuzi si zishapita siku mbili?? Mi masaa mawili tu nahisi kukumisi...
Mi moyo wangu wa maini... afadhali wako wa nyama unaweza kuvumilia...Mmmmh... Babu!!!! Sijakuona online ujue... Halafu ujue na mie nina moyoo wa nyama babu
Mie zaidi mdogo wangu...Nimekumiss tu mimi jaman
Ko unafanyaga makusudi sio???!! Huwa nakuonaga tuu.... Mungu anakuona ujueMi moyo wangu wa maini... afadhali wako wa nyama unaweza kuvumilia...
Hahahahaa... mi si mkorofi, wananichokoza honey.Ko unafanyaga makusudi sio???!! Huwa nakuonaga tuu.... Mungu anakuona ujue
Hahaha!. Mimi Leo nimetoka kwenye majukumu, asee nimecheka mno.Nimetamani jf kungekuwa na voice msg mana nimecheka hadi machozi yamenitoka. Hii kali aisee.
Fanya wewe me hapana
Nisalimie Dada kwa babu yakoMie zaidi mdogo wangu...
Hiyo honey veepe... Mie sitaki kumwagiwa tindikali ujueHahahahaa... mi si mkorofi, wananichokoza honey.