Exclusivee... naji Interview mwenyewe

Wagunduzi wengi waligundua vitu kutokana na changamoto ktk Mazingira yao. Je? Unadhani mgunduzi wa kwanza wa vazi la chuppi alipatwa na changamoto gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa niaba ya muulizwa swali nijibu swali hili la msingi kama ifuatavyo:- Mgunduzi wa vazi hilo pendwa aliligundua kutokana na changamoto ya kuchunguliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…