Expect Bashiru in top level management again by 2030

Expect Bashiru in top level management again by 2030

Mbona umeandika kwa kukoroga sana?
 
2030 Seems a long way to go, wont that intellectual be a very old guy?
 
Also Mr Iluganyuma Leader of the TISS filed a formal complaint against bashiru, who will now be investigated by a by CCM , TISS and Parliamentary committee for tempering with the breach of Tanzanian Constitution .

Ungeiweka kwa kiswahili tu ingependeza, umelazimisha kuweka kiingereza chenye maneno ya ndani ndani ukidhani utaonekana umekuja na habari yenye nguvu. Acha mbwembwe za kijinga bro.
 
Ww ni mpumbavu Sana kwani Warundi mnawaona siyo watu
Kama na wewe ni mrundi ongeza jina lako kwenye orodha ya akina Bashiru. Hatutaki damu hii tena kwenye uongozi w Nchi yetu. Nyie ni wamwaga damu
 
In the Cabinet Bashiru says “I felt … very compelled to ensure that other survivors who do get the courage to report their assault to have that process done with respect and dignity,” he said...
Looks like a day dream!!!
 
Who is traitor between Bashiru and Kinana?
Bashiru ni traitor, masalia ya magufuli, tupilia mbali kabisa ptuuuuu,,,
CCM wasije kujaribu kuleta tena mtu kama huyu kwenye uongozi, ni haifai,

Kwanza traitor anayevunja mpaka katiba ili wachukue tu uongozi? Sijui walìtaka nani awe Rais wa Tanzania,

Mama Samia asifanye hilo kosa kumrüdisha, hakuna rangì ataacha ona!
 
Ww ni mpumbavu Sana kwani Warundi mnawaona siyo watu
Wakagombee kwao kwani Tanzania wanataka nn? Wakiomba hifadhi ndo waingize mwili mzima! Ukiomba hifadhi unajibanza tu kiana, wao ndo wanataka kuchukua na mji wa watu kabisa!!
 
ukiangalia harakati za Bashiru na Magufuli unapata mashaka kama hawa watu ni watanzania. hii michakato huwa tunaisikia Burundi na Rwanda
 
CCM ni muunganiko wa vyama vingi mbavyo havijasajiliwa. Na sio political party. CCM ni political system, ni governance system. Kwa hiyo wanajuana wenyewe. Hakuna msaliti. Kila mmoja anafuata sera za chama chake kidogo ndani ya mfumo CCM.
 
Bashiru is not a traitor. He's patriotic to his nation! Once a patriotic always a patriotic!

Whether he'll gain a higher political position or not, he is among our heroes!
 
Bashiru ni traitor, masalia ya magufuli, tupilia mbali kabisa ptuuuuu,,,
CCM wasije kujaribu kuleta tena mtu kama huyu kwenye uongozi, ni haifai,

Kwanza traitor anayevunja mpaka katiba ili wachukue tu uongozi? Sijui walìtaka nani awe Rais wa Tanzania,

Mama Samia asifanye hilo kosa kumrüdisha, hakuna rangì ataacha ona!
Siku akiwa rais wako ujiue kabisa.
 
Back
Top Bottom