Umeandika kitu kizuri sana, na hivyo ndiyo Tanzania aliyoiasisi na kutuachia Nyerere inavyopaswa kuwa. Magufuli kwa kauli zake ambazo voice clips alikuwa anatugawa kama ifuatavyo:
1. Kule Tunduma alisema siwezi kuwapa maji kwa vile mlichagua upinzani.
2. Kitendo cha kumshambulia Tundu Lissu kwa risasi baada ya kupishana
mawazo
3. Kununua wabunge wa upinzani kama kina Silinde, Gekul, Mollel, Mtulya ili kuidhiofisha CDM na CUF
4. Kutumia raslimali za Nchi nzima kujenga wilayani kwake
5. Kuwaweka kwenye nafasi nyeti wanafamilia wake kama Ditto James na Kalemani
6. Kujitangazia ushindi wa uchaguzi wa 2020 wakati hakushinda. Mbaya zaidi kuweka wabunge anaowataka yeye kutoka CCM hata kwenye majimbo waliyoshinda washindani.
Bila Mungu kuingilia kati pale 17/ Machi / 2021 ingekuwa vigumu hili dude kutoka madarakani