Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Ulipigwa mikao ya Giggy Money? Hawakutifua mtaro?Sijawahi kuonana nao labda huyo mzee ila hao waliishia kwa simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipigwa mikao ya Giggy Money? Hawakutifua mtaro?Sijawahi kuonana nao labda huyo mzee ila hao waliishia kwa simu
Aisee acha tabia mbaya sijalala na mtu mieUlipigwa mikao ya Giggy Money? Hawakutifua mtaro?
Acha tu ila haikutakiwa humu kule wametakiwaTatizo ulikuja kwa mbwembwe kwamba hujui kiswahili watu tulikuangalia tu na English yako isiyo na grammar wala tense. Sasa hivi unagonga 33 ila bado una kisirani kikali + gubu na kuongea hovyo[emoji3][emoji3]
Sio humu ushauri kwa mtu ni bora ukatembee tembee huwezi jua umepatiwa wapi ila utapatwa tu naamini kwa hiloKila la kheri dada, utampata mwanaume wa ndoto zako nakuombea
Utampata lakiniSio humu ushauri kwa mtu ni bora ukatembee tembee huwezi jua umepatiwa wapi ila utapatwa tu naamini kwa hilo
😂😂😂😂Kwa mnyororo huo yakianzishwa mashindano ya wanawake wenye  Gundu tuzo nakupa wewe
Tuzo nakupa wewe kwenye suala la kuwa na roho mbaya kweli unakejeli watu , unawatusi huwapi moyo wala nini jali watu wakujaliKwa mnyororo huo yakianzishwa mashindano ya wanawake wenye  Gundu tuzo nakupa wewe
Yes, mwishoni lakini ila ndio hiyohiyo 2014.🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔2014
Tupo aseeMimi nafikiri nimebahatika, wa kwangu nilifahamiana nae tokea 2014 baadae mambo yakakorogeka hapo katikati ila nilimrudia na mambo ni mazuri sana.
Naweza kusema kwa uhakika ndio mwanaume bora kupata kutokea ktk maisha yangu.
So yeah, wanaume bora hata hapa JF wapo pia.
Umesema nasura mbaya wht everWaona unavyonifokea what if me ndo uliyeandikiwa?
Hayakilanikikuambia nikuoe hutaki
sasa, aise!!Wajanja wa mji hoyee,
Nadhani kila mmoja wenu yupo sawa na mambo yake, .
Mnamo 2019 nilianza kutafuta mwenzi wa maisha yangu waswahili wanasema huba la moyo .
Nilipata mwanaume sio single ila alitaka niwe mke 2 nikaona hapana na ndio mwisho wa mawasiliano pale nilipokataa.
Wakaendelea kuja wengi tu ila nikuchart inbox pekee au wtsupp.
Walitokea watu kadhaa ila kila anayekuja anakisanga chake.
Kuna wanaoomba vocha , hela ya kula na mengine mengi . Ikiwemo umfanyie mtu shopping za hapa na pale . Mtu unamwambua sina pesa nashida ila u akuta hawajali wanasema tu naomba hili au lile Ili hali na waeleza mie natafuta kazi . Maisha yaliendelea mpaka 2021 nikapata mlokole nilimshukuru Mungu kweli kwa yote . Eti kuna alilonionekania sasa mie nilijiona wapekee kumbe nipo kichakani na gizani.
Jingine ni hili eti mtu ukiongea naye mchana ijioni unaota , upo kwenye kanisa la ajabu , . Lakilokole kuna kwaya mimbara na waumini sasa nikaona mie ndio kama sadaka .
Mwanzo nilidhani ndoto ila nilipowashirikisha marafiki wakanitatulia natukaja jua kuwa huyu kaka ni freemanson tokea ni mgundue akawa anavisa sana . Hataki niwe naye tena . Ikawa ndio kwisha.
Mwingine alimdanganya hadi bi mkubwa kuwa atakuja nyumbani kuongea naye kuhusu sisi kuishi pamoja . Alikuwa jamaa liongo hilo mpaka nikamzoea nilifiti nilimbwa. Aliniabisha kweli nilimpenda naye ila huyo hakujua anachart na unique flower . Ndio ilipotimia 2022 ndio nikaona mmh nikajaribu nje.
Ya hapa. Ila humu sasa kuna watu wanaojiona wanaweza sasa kuweza kwenyewe
Kuharibia watu humu . Ili wasisaidiwe hawajui hatunashida na misaada mimi sio mpalestina na mshukuru Mungu kwa yote . Anayenipa uhai na ananipenda. Hii inatosha
Huo ndio mpango.Muoane sasa
We love you dont take it vry serious jina tu linaonesha how unique and beutiful you aUmesema nasura mbaya wht ever