Ni nzuri kabisa Mungu ni mwema ninamshukuruPoa kabisa habari ya mchana.
Unamtaka nani tumuite ?? Sema tukusaidie tukupigie debeπππ
HahahahaUnamtaka nani tumuite ?? Sema tukusaidie tukupigie debe
Mkuu wewe ni mchawiπππ Haya mfuate PM kashaifungua
Sema usiogope semaHahahaha
Hunaga mambo mengi mtoto wa watu...
Nenda PM mtoto kashakupa mwanya huo au domo zito πMkuu wewe ni mchawi
ππNenda PM mtoto kashakupa mwanya huo au domo zito π
Funguka bhana usijibaneHahahaha
Nimeamini sasa uchawi upo.Nenda PM mtoto kashakupa mwanya huo au domo zito π
Ingia PM wewe umeshapewa chance unaichezeaNimeamini sasa uchawi upo.
Mambo mazuri hayahitaji haraka , kula mtori nyama zipo chini.Funguka bhana usijibane
Kwanini mkuuMie huku ni meweka x
πππ Hatari π₯Pia ana Uno ndembendembeπ₯
Hawapo serious wengiKwanini mkuu