Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nimeona nini? 🤣🤣🤣Lamomy ,umeonaaa au unajikausha[emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona nini? 🤣🤣🤣Lamomy ,umeonaaa au unajikausha[emoji16][emoji16][emoji16]
Ulinisagia kunguni sana ,kiko wap sasa 😜😜Nimeona nini? 🤣🤣🤣
Nishaona 🤣🤣🤣
Anakupenda huyo anakuogopaNishaona 🤣🤣🤣
Kunguni gani?Ulinisagia kunguni sana ,kiko wap sasa 😜😜
[emoji849][emoji849]Anakupenda huyo anakuogopa
Si kweli??[emoji849][emoji849]
Eti kuna mtu nataka nimchezee[emoji1787][emoji1787]Kunguni gani?
Hujateswa wewe aise.😂😂😂 Mi wa kunitesa kihisia simzingatii, naachana naye!! Ya nini kujifia mapema
Sio kwel.Si kweli??
Pamoja sana🥂Kuchokonoa nyama kabla ya kunywa mtori ni dalili za ulafi .
Usilaze damu binti maua kwa Mr handsome hapo,light skin .Why naninavyosikia ni bonge la handsome mweupe kifua six pack
🍺Pamoja sana🥂
Usinihukumu kwa kunilinganisha na watu wengine. Mimi ni mtu tofauti sana. Nipe nafasi tuanze upya kabisa.Kweli mnakuwa wema hapa ngoja basi tuwe na mawasiliano mnaanza sintofahamu unakuwa hueleweki hapo hujawa naye hata kimapenzi
🙏Mambo Mengi si mazuri mkuu
Wewe ni tatizo.Wajanja wa mji hoyee,
Nadhani kila mmoja wenu yupo sawa na mambo yake, .
Mnamo 2019 nilianza kutafuta mwenzi wa maisha yangu waswahili wanasema huba la moyo .
Nilipata mwanaume sio single ila alitaka niwe mke 2 nikaona hapana na ndio mwisho wa mawasiliano pale nilipokataa.
Wakaendelea kuja wengi tu ila nikuchart inbox pekee au wtsupp.
Walitokea watu kadhaa ila kila anayekuja anakisanga chake.
Kuna wanaoomba vocha , hela ya kula na mengine mengi . Ikiwemo umfanyie mtu shopping za hapa na pale . Mtu unamwambua sina pesa nashida ila u akuta hawajali wanasema tu naomba hili au lile Ili hali na waeleza mie natafuta kazi . Maisha yaliendelea mpaka 2021 nikapata mlokole nilimshukuru Mungu kweli kwa yote . Eti kuna alilonionekania sasa mie nilijiona wapekee kumbe nipo kichakani na gizani.
Jingine ni hili eti mtu ukiongea naye mchana ijioni unaota , upo kwenye kanisa la ajabu , . Lakilokole kuna kwaya mimbara na waumini sasa nikaona mie ndio kama sadaka .
Mwanzo nilidhani ndoto ila nilipowashirikisha marafiki wakanitatulia natukaja jua kuwa huyu kaka ni freemanson tokea ni mgundue akawa anavisa sana . Hataki niwe naye tena . Ikawa ndio kwisha.
Mwingine alimdanganya hadi bi mkubwa kuwa atakuja nyumbani kuongea naye kuhusu sisi kuishi pamoja . Alikuwa jamaa liongo hilo mpaka nikamzoea nilifiti nilimbwa. Aliniabisha kweli nilimpenda naye ila huyo hakujua anachart na unique flower . Ndio ilipotimia 2022 ndio nikaona mmh nikajaribu nje.
Ya hapa. Ila humu sasa kuna watu wanaojiona wanaweza sasa kuweza kwenyewe
Kuharibia watu humu . Ili wasisaidiwe hawajui hatunashida na misaada mimi sio mpalestina na mshukuru Mungu kwa yote . Anayenipa uhai na ananipenda. Hii inatosha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usinihukumu kwa kunilinganisha na watu wengine. Mimi ni mtu tofauti sana. Nipe nafasi tuanze upya kabisa.
Yeah nipo serious, vigezo vikiclick na kuendana tutarudi kutoa ushuhuda hapa JFUpo serious??