Well said mkuu shukrani kwani logical answerUse by date, Expire date ni tarehe ambazo zinamlinda mwenye bidhaa asije akashtakiwa kama mtu akidhurika
Lakini hata wewe unaweza kutumia akili tu
Unaweza kuta maziwa bado yana mda wake lakini yameharibika kisa labda yaliwekwa kwenye joto jingi au yamechanganywa na maziwa ya zamani
Sasa hapo ukiangalia tu tarehe itakula kwako.
Lingine unaweza kukuta cheese ina Expire date
Wakati cheese ni ikizidi kukaa ndio inazidi kuwa bora zaidi
Yaani kila inapooza ama?
Asante mkuu kwani ni common sense tuWell said mkuu shukrani kwani logical answer
Kabisa ni muhimu na lazimaBidhaa nyingi au madawa yanawekewa expiry date kwa tahadhari lakini vyaweza kutumia hata miezi sita au zaidi baada ya expiry date ikiwa havija funguliwa au kukutana na hewa.
Lakini vitu kama maziwa na mikate fuatilia sana hiyo tarehe
Hisia tu ila usingesoma pengine usingehisi chochote, Tanzania watu wanakula sana bidhaa zilizoexpire hasa hizi za kutengenezwa majumbani halafu zinawekwa tu vilebo, huwa wanafanyaga tu kukadiria, utaskia hiyo design kabla hujaituma hapo kwenye expire date naomba badilisha iweke tu 2030(hii 2030 si halisi ila nimeiweka kuonesha kwamba huwa hata wao wenyewe hawana uhakika na exactly expire date ila wanakadiria mbali kwasababu hawataki kutengeneza tena design ya lebo zao mara kwa mara)Niliwahi kununua soda ya kopo nikapanda daladala, nikawa napiga mdogomdogo, naelekea kuimaliza kucheki kwenye kopo, tarehe ya kuexpire ni miezi miwili nyuma! Nilishtuka kinoma sikupata madhara makubwa zaidi ya kuhisi kurudisha chenj...
Duh TMDA,TBS, na TFDA wapo tuHisia tu ila usingesoma pengine usingehisi chochote, Tanzania watu wanakula sana bidhaa zilizoexpire hasa hizi za kutengenezwa majumbani halafu zinawekwa tu vilebo, huwa wanafanyaga tu kukadiria, utaskia hiyo design kabla hujaituma hapo kwenye expire date naomba badilisha iweke tu 2030(hii 2030 si halisi ila nimeiweka kuonesha kwamba huwa hata wao wenyewe hawana uhakika na exactly expire date ila wanakadiria mbali kwasababu hawataki kutengeneza tena design ya lebo zao mara kwa mara)
Hili swali nalo ni kubwaHivi sumu
iki expire inakua nini?
😅😅😅Inakuwa juiceHivi sumu
iki expire inakua nini?
Mkuu kwa maisha jinsi yalivyo hizo taasisi ulizozitaja hapo zikisema zianze kufuatilia Kila kitu ile yenyewe watu wengi wangekufa njaa mtaani.Duh TMDA,TBS, na TFDA wapo tu
Wakuu niaje.
Umewahi kutumia kitu, baada ya kukitumia ukagundua kimeexpire.
- Ulitumia kitu gani?
- Ulichukua hatua gani baada kujua?
- Nini kilifanya mpaka ikawa hivyo? Ulijisahau! au ilikuaje.
Hisia ndio zilizokutesa sio sodaNiliwahi kununua soda ya kopo nikapanda daladala, nikawa napiga mdogomdogo, naelekea kuimaliza kucheki kwenye kopo, tarehe ya kuexpire ni miezi miwili nyuma! Nilishtuka kinoma sikupata madhara makubwa zaidi ya kuhisi kurudisha chenj...
Aisee umenikumbusha kitu mkuu kuna mmaza mmoja amebabuka kawa kama aliungua na moto muda mwingi anajitibu na asali madawa ya kienyeji sababu alitumia vipodozi vya insta aka mwajuma ndala ndefu skincare productsKuna taarifa nimeiona jana tu dogo anaomba msaada wa matibabu baada ya kuwa albino kisa alitumia antibiotics zilizokwisa muda wa matumizi.
Humo mitaani sana tu mbona... Hasa huko daslam kwenu😅😅kwahio mkuu tunalishwa makombo na viporo