Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 2,411
- 6,646
- Thread starter
- #21
Well said mkuu shukrani kwani logical answerUse by date, Expire date ni tarehe ambazo zinamlinda mwenye bidhaa asije akashtakiwa kama mtu akidhurika
Lakini hata wewe unaweza kutumia akili tu
Unaweza kuta maziwa bado yana mda wake lakini yameharibika kisa labda yaliwekwa kwenye joto jingi au yamechanganywa na maziwa ya zamani
Sasa hapo ukiangalia tu tarehe itakula kwako.
Lingine unaweza kukuta cheese ina Expire date
Wakati cheese ni ikizidi kukaa ndio inazidi kuwa bora zaidi
Yaani kila inapooza ama?