Achana kabisa kupeleka biashara Kenya kama bado unapenda kuendelea kuishi hapa duniani, hao jamaa ni makatili wa kupitiliza, bora ufikirie masoko ya Rwanda, Zambia, Malawi na Zimbabwe, huko kuna Soko kubwa sana la finished goods.
Mimi ninawajua watanzania watatu, ambao walikua wanafanya biashara za kupeleka bidhaa Kenya, wameuliwa kwasababu ya kudai pesa zao.Look at this sorry guy!
Nimezaliwa mpaka wa Uchaggani na Kenya,historically tunafanya biashara na Kenya tangu enzi na enzi!
Business is way good than what you are spewing here!
Achana kabisa kupeleka biashara Kenya kama bado unapenda kuendelea kuishi hapa duniani, hao jamaa ni makatili wa kupitiliza, bora ufikirie masoko ya Rwanda, Zambia, Malawi na Zimbabwe, huko kuna Soko kubwa sana la finished goods.
Ubepari umewaathiri kiasi kwamba hamthamini uhai wa binadamu, kwenu pesa ni zaidi ya Mungu, ninyi ni zaidi ya wanyama wa porini, roho zenu ni mbaya na ni watu katili sana.Says an imbecile who has only one underwear
Ubepari umewaathiri kiasi kwamba hamthamini uhai wa binadamu, kwenu pesa ni zaidi ya Mungu, ninyi ni zaidi ya wanyama wa porini, roho zenu ni mbaya na ni watu katili sana.
Ninyi ni zaidi ya wanyama porini.Sasa mbona mnakula Albino. Nyani haoni kundule
Ninyi ni zaidi ya wanyama porini.
Balozi wa Israel kasema galana project imekufa kutokana na sabotage ya Rift Valley maize farmers ambao wanafaidika na current acute maize deficit!Ubepari umewaathiri kiasi kwamba hamthamini uhai wa binadamu, kwenu pesa ni zaidi ya Mungu, ninyi ni zaidi ya wanyama wa porini, roho zenu ni mbaya na ni watu katili sana.
Mwenzako amefika mahali akili yake ikajamba. Huyo wachana na yeye. Chuki yake ya Kenya haina kifani.Look at this sorry guy!
Nimezaliwa mpaka wa Uchaggani na Kenya,historically tunafanya biashara na Kenya tangu enzi na enzi!
Business is way good than what you are spewing here!
This is too primitive a behaviour even for monkeys in the jungle.Achana kabisa kupeleka biashara Kenya kama bado unapenda kuendelea kuishi hapa duniani, hao jamaa ni makatili wa kupitiliza, bora ufikirie masoko ya Rwanda, Zambia, Malawi na Zimbabwe, huko kuna Soko kubwa sana la finished goods.
These are just my thoughts and suggestions to this guy who requested from audience.This is too primitive a behaviour even for monkeys in the jungle.
cc.Tony254Balozi wa Israel kasema galana project imekufa kutokana na sabotage ya Rift Valley maize farmers ambao wanafaidika na current acute maize deficit!
Ukitaka kuexport Kenya. Jambo la kwanza tafuta soko. Ukishapata soko au market ya bidhaa hizo basi utafanya utafiti wa bei ya usafiri. Unatumia lori au meli kusafirisha? Ukishafahamu bei ya usafiri kisha utafute kampuni ya clearing and forwarding hapa Kenya itakayokufanyia mambo mengi kama kujaza fomu hitajika, kukujuza ushuru unayostahili kulipa na kadhalika. Hayo tu ni baadhi ya mambo unayostahili kuzingatia lakini sio yote.Wadau
Mbarikiwe nyote siku ya leo takafifu.
Nina mipango ya ku Export bidhaa kutoka Dar kwenda Nairobi. Bidhaa zenyewe ni Finished Goods.
Naomba mwenye kujua taratibu za kufanya Export na kodi zinazohusika katika mchakato mzima.
Nitashukuru sana kupata miongozo yenu.
Mbona umesahau kumuambia jambo la msingi? (Security)Ukitaka kuexport Kenya. Jambo la kwanza tafuta soko. Ukishapata soko au market ya bidhaa hizo basi utafanya utafiti wa bei ya usafiri. Unatumia lori au meli kusafirisha? Ukishafahamu bei ya usafiri kisha utafute kampuni ya clearing and forwarding hapa Kenya itakayokufanyia mambo mengi kama kujaza fomu hitajika, kukujuza ushuru unayostahili kulipa na kadhalika. Hayo tu ni baadhi ya mambo unayostahili kuzingatia lakini sio yote.
Jambo la msingi ninaloweza kukushauri ni utafute clearing and forwarding firm. Ziko nyingi hapa Kenya. Nenda online utazipata. Mengine yatafwata.Wadau
Mbarikiwe nyote siku ya leo takafifu.
Nina mipango ya ku Export bidhaa kutoka Dar kwenda Nairobi. Bidhaa zenyewe ni Finished Goods.
Naomba mwenye kujua taratibu za kufanya Export na kodi zinazohusika katika mchakato mzima.
Nitashukuru sana kupata miongozo yenu.