Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Hahahaha, kitu kimoja nimeona katika hii post yako, kwamba sasa unaanza kuheshimu mawazo ya kila MTU. Mimi nilimueleza huyu mtoa huu Uzi maoni yangu jinsi ninavyofahamu nchi ya Kenya, wewe ulikua free kumueleza uzoefu wako jinsi unavyoijua Kenya, hukupaswa kuyapinga mawazo yangu na kutaka kuonyesha kwamba wewe ndio unajua zaidi kuhusu Kenya kwasababu unaishi mpakani mwa Kenya. Tabia ya kujifanya unajua nchi au kitu kwasababu unaishi karibu na hiyo nchi, ni tabia ya watu wajinga, bado Nina uhakika hujafikia huko.
Kuhusu hayo mengine ya ATCL kutengeneza faida au hasara, au kurudi au kutorudi South Africa, kwamba Mimi ni CCM au kwamba wewe hukubaliani na CCM. Hayo yote ni mawazo yako kwahiyo sioni sababu yoyote ya kukujibu, ila watu hapa JF wananifahamu vizuri sana, kama ni CCM au sio, kifupi sio muhimu kujua hayo, muhimu hapa ni kupambana kwa hoja, usikimbilie kuanza kuingilia maisha ya watu binafsi.
Mimi hua siheshimu mtu,naheshimu content ya ideas zake!
Wewe umetoa maoni kwa muhusika,sio kwamba sisi wengine hatuna haki ya kusanifu ushauri wako na kuangalia kama una mapungufu au kuna uongo ndani yake!
Ushauri uliotoa kuna uongo ndani yake na ndio maana nika ku-challenge!
Wewe ukapaniki!
Which ni normal reaction ya wasema uongo!
Uzuri umekiri huna links au evidences ku-prove hivyo vifo vi3 vya hao watu,ni sawa.
Conclusions tushazifanya vichwani mwetu tayari!
Kwamba ni huenda ikawa kweli au uongo!
Ni 50/50 chance!
Kuhusu ATCL mzee hakuna hoja uliyotoa nimekubaliana nayo!