Export to Kenya From Tanzania

Export to Kenya From Tanzania

Hahahaha, kitu kimoja nimeona katika hii post yako, kwamba sasa unaanza kuheshimu mawazo ya kila MTU. Mimi nilimueleza huyu mtoa huu Uzi maoni yangu jinsi ninavyofahamu nchi ya Kenya, wewe ulikua free kumueleza uzoefu wako jinsi unavyoijua Kenya, hukupaswa kuyapinga mawazo yangu na kutaka kuonyesha kwamba wewe ndio unajua zaidi kuhusu Kenya kwasababu unaishi mpakani mwa Kenya. Tabia ya kujifanya unajua nchi au kitu kwasababu unaishi karibu na hiyo nchi, ni tabia ya watu wajinga, bado Nina uhakika hujafikia huko.

Kuhusu hayo mengine ya ATCL kutengeneza faida au hasara, au kurudi au kutorudi South Africa, kwamba Mimi ni CCM au kwamba wewe hukubaliani na CCM. Hayo yote ni mawazo yako kwahiyo sioni sababu yoyote ya kukujibu, ila watu hapa JF wananifahamu vizuri sana, kama ni CCM au sio, kifupi sio muhimu kujua hayo, muhimu hapa ni kupambana kwa hoja, usikimbilie kuanza kuingilia maisha ya watu binafsi.

Mimi hua siheshimu mtu,naheshimu content ya ideas zake!

Wewe umetoa maoni kwa muhusika,sio kwamba sisi wengine hatuna haki ya kusanifu ushauri wako na kuangalia kama una mapungufu au kuna uongo ndani yake!

Ushauri uliotoa kuna uongo ndani yake na ndio maana nika ku-challenge!

Wewe ukapaniki!

Which ni normal reaction ya wasema uongo!

Uzuri umekiri huna links au evidences ku-prove hivyo vifo vi3 vya hao watu,ni sawa.

Conclusions tushazifanya vichwani mwetu tayari!

Kwamba ni huenda ikawa kweli au uongo!

Ni 50/50 chance!

Kuhusu ATCL mzee hakuna hoja uliyotoa nimekubaliana nayo!
 
Hku somalia na syria zikiwa nchi zenye amani kuliko kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata Japan na USA kuna masikini, lakini hizo haziitwi nchi masikini kwasababu idadi ya watu masikini ni chini ya kiwango kinachokibalika.

Tatizo Kenya "crime" is far above acceptable level internationally, that's why Kenya is listed as one of the most dangerous countries on Earth.
 
Mwambie moh akaanzishe kiwanda somalia basi
Hata Japan na USA kuna masikini, lakini hizo haziitwi nchi masikini kwasababu idadi ya watu masikini ni chini ya kiwango kinachokibalika.

Tatizo Kenya "crime" is far above acceptable level internationally, that's why Kenya is listed as one of the most dangerous countries on Earth.
 
So hapo kama tuna+import bidhaa kutoka Tz worth $793m mbona mnamkwamisha Mtanzania mwenzenu kunufaika humo, nyie mna roho za kishetani na kuoneana wivu, acheni mwenzenu afaulu kutoka, yeye kaamua kufanya la maana hajiungi kwenye lile kundi lenu la omba omba waliojazana huku.
Uzi kama huu ungemnufaisha huyo na wengine wenye kuthubutu, ama kwa kweli adui mkubwa wa Watanzanpoia ni Watanzania wenyewe, roho nyeusi hata kumzidi shetani.
Hapo unawaza kuletewa gunia la maharage
 
Mimi hua siheshimu mtu,naheshimu content ya ideas zake!

Wewe umetoa maoni kwa muhusika,sio kwamba sisi wengine hatuna haki ya kusanifu ushauri wako na kuangalia kama una mapungufu au kuna uongo ndani yake!

Ushauri uliotoa kuna uongo ndani yake na ndio maana nika ku-challenge!

Wewe ukapaniki!

Which ni normal reaction ya wasema uongo!

Uzuri umekiri huna links au evidences ku-prove hivyo vifo vi3 vya hao watu,ni sawa.

Conclusions tushazifanya vichwani mwetu tayari!

Kwamba ni huenda ikawa kweli au uongo!

Ni 50/50 chance!

Kuhusu ATCL mzee hakuna hoja uliyotoa nimekubaliana nayo!
Akili ndogo na akili kubwa ni sawa na sterio na mono, kamwe haziwezi kuchanganyika.
 
Akili ndogo na akili kubwa ni sawa na sterio na mono, kamwe haziwezi kuchanganyika.

Meaning what sasa?

Mono au monaural audio technology japokua inatoa imperfect sense ya human voice inafaa sana kwa speech maana ni sauti moja inasikika na ni low-fidelity.

Tofauti na stereo ambayo vyombo vyote vinasikika!Alan Blumlein alifanikiwa ku-recreate multi direction ya sound field ndio maana mziki unasikika wote kama ulivyo ukiwa umejaa!

Hii nayo ikawa ni revolutionary technology 1931!

Ila vyote hivo ni uchafu maana ni ma-analogy signals yamejaa noise!

Zote ni nonsense!

Ikaja Digital audio technology kwa kutumia laser recording technology 1980’s.

Digital ikafanya noise zooote zikatolewa kitu kikawa kinatoka bila noise!

Sasa nashindwa kuelewa unasifia mi-technology ya zamani yote mawili sijui unatafuta nini humo?

Na sijui mixing za Mono na Stereo zinatokea wapi wakati ni totally different technologies!
 
Weka evidence bwana wacha kupayuka ati most dangerous. Kwani hao Albino wakichinjwa Tanzania wanachinjwa kwa nchi iliyo na Amani? Ule mbunge mliyempiga marisasi karibu kumuua akaja kutibiwa Kenya, mlimpiga risasi kwenye nchi ya amani? Yule bilionea mliyemteka nyara mlimteka nyara kwa nchi ya amani? Usituone tumenyamaza ukadhani sisi ni wazimu.
Huyo hatakujibu.
 
Achana kabisa kupeleka biashara Kenya kama bado unapenda kuendelea kuishi hapa duniani, hao jamaa ni makatili wa kupitiliza, bora ufikirie masoko ya Rwanda, Zambia, Malawi na Zimbabwe, huko kuna Soko kubwa sana la finished goods.
The way you speak about Kenya, someone might think you have a first experience with Kenya when I'm sure you've never left the vijiwes of Tandale.
 
Back
Top Bottom