Export to Kenya From Tanzania

Export to Kenya From Tanzania

Rio Tinto

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
777
Reaction score
451
Wadau

Mbarikiwe nyote siku ya leo takafifu.

Nina mipango ya ku Export bidhaa kutoka Dar kwenda Nairobi. Bidhaa zenyewe ni Finished Goods.

Naomba mwenye kujua taratibu za kufanya Export na kodi zinazohusika katika mchakato mzima.

Nitashukuru sana kupata miongozo yenu.
 
Achana kabisa kupeleka biashara Kenya kama bado unapenda kuendelea kuishi hapa duniani, hao jamaa ni makatili wa kupitiliza, bora ufikirie masoko ya Rwanda, Zambia, Malawi na Zimbabwe, huko kuna Soko kubwa sana la finished goods.
 
Look at this sorry guy!

Nimezaliwa mpaka wa Uchaggani na Kenya,historically tunafanya biashara na Kenya tangu enzi na enzi!

Business is way good than what you are spewing here!
 
Mimi ninawajua watanzania watatu, ambao walikua wanafanya biashara za kupeleka bidhaa Kenya, wameuliwa kwasababu ya kudai pesa zao.

Kwa ujumla wakenya sio watu wa kuwaamini kabisa katika suala zima la pesa, ni watu wenye tamaa sana ya pesa. Sisemi kwamba hakuna biashara inayofanyika, lakini ni miongoni mwa nchi hatari sana, kama kuna " alternatives ", bora kufikiria nchi zingine. Kama mtu ataamua kufanya biashara Kenya, lazima ajue kwamba maisha yake yako hatarini sana.
 
Says an imbecile who has only one underwear
Ubepari umewaathiri kiasi kwamba hamthamini uhai wa binadamu, kwenu pesa ni zaidi ya Mungu, ninyi ni zaidi ya wanyama wa porini, roho zenu ni mbaya na ni watu katili sana.
 
DMcBmdaXkAEYNVO.jpeg
 
Ubepari umewaathiri kiasi kwamba hamthamini uhai wa binadamu, kwenu pesa ni zaidi ya Mungu, ninyi ni zaidi ya wanyama wa porini, roho zenu ni mbaya na ni watu katili sana.
Balozi wa Israel kasema galana project imekufa kutokana na sabotage ya Rift Valley maize farmers ambao wanafaidika na current acute maize deficit!
 
Achana kabisa kupeleka biashara Kenya kama bado unapenda kuendelea kuishi hapa duniani, hao jamaa ni makatili wa kupitiliza, bora ufikirie masoko ya Rwanda, Zambia, Malawi na Zimbabwe, huko kuna Soko kubwa sana la finished goods.
This is too primitive a behaviour even for monkeys in the jungle.
 
Wadau

Mbarikiwe nyote siku ya leo takafifu.

Nina mipango ya ku Export bidhaa kutoka Dar kwenda Nairobi. Bidhaa zenyewe ni Finished Goods.

Naomba mwenye kujua taratibu za kufanya Export na kodi zinazohusika katika mchakato mzima.

Nitashukuru sana kupata miongozo yenu.
Ukitaka kuexport Kenya. Jambo la kwanza tafuta soko. Ukishapata soko au market ya bidhaa hizo basi utafanya utafiti wa bei ya usafiri. Unatumia lori au meli kusafirisha? Ukishafahamu bei ya usafiri kisha utafute kampuni ya clearing and forwarding hapa Kenya itakayokufanyia mambo mengi kama kujaza fomu hitajika, kukujuza ushuru unayostahili kulipa na kadhalika. Hayo tu ni baadhi ya mambo unayostahili kuzingatia lakini sio yote.
 
Mbona umesahau kumuambia jambo la msingi? (Security)
 
So hapo kama tuna+import bidhaa kutoka Tz worth $793m mbona mnamkwamisha Mtanzania mwenzenu kunufaika humo, nyie mna roho za kishetani na kuoneana wivu, acheni mwenzenu afaulu kutoka, yeye kaamua kufanya la maana hajiungi kwenye lile kundi lenu la omba omba waliojazana huku.
Uzi kama huu ungemnufaisha huyo na wengine wenye kuthubutu, ama kwa kweli adui mkubwa wa Watanzania ni Watanzania wenyewe, roho nyeusi hata kumzidi shetani.
 
Wadau

Mbarikiwe nyote siku ya leo takafifu.

Nina mipango ya ku Export bidhaa kutoka Dar kwenda Nairobi. Bidhaa zenyewe ni Finished Goods.

Naomba mwenye kujua taratibu za kufanya Export na kodi zinazohusika katika mchakato mzima.

Nitashukuru sana kupata miongozo yenu.
Jambo la msingi ninaloweza kukushauri ni utafute clearing and forwarding firm. Ziko nyingi hapa Kenya. Nenda online utazipata. Mengine yatafwata.
 
Usijaribu hata kidogo kufanya biashara na wakenya. Niwezi tena wapotayari kukuua.

Nipoa na list ya wakenya wengi tu wamewatapeli watanzania. Ninaweza kuwataja hata majina yao hapa.

Fikiria kufanya biashara kwenye ujanda wa SADC, Burundi, Rwanda, Uganda, S. Sudan nk. Na siyo kenya.
 
Back
Top Bottom