Export to Kenya From Tanzania


Mimi hua siheshimu mtu,naheshimu content ya ideas zake!

Wewe umetoa maoni kwa muhusika,sio kwamba sisi wengine hatuna haki ya kusanifu ushauri wako na kuangalia kama una mapungufu au kuna uongo ndani yake!

Ushauri uliotoa kuna uongo ndani yake na ndio maana nika ku-challenge!

Wewe ukapaniki!

Which ni normal reaction ya wasema uongo!

Uzuri umekiri huna links au evidences ku-prove hivyo vifo vi3 vya hao watu,ni sawa.

Conclusions tushazifanya vichwani mwetu tayari!

Kwamba ni huenda ikawa kweli au uongo!

Ni 50/50 chance!

Kuhusu ATCL mzee hakuna hoja uliyotoa nimekubaliana nayo!
 
Hku somalia na syria zikiwa nchi zenye amani kuliko kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwambie moh akaanzishe kiwanda somalia basi
 
Hapo unawaza kuletewa gunia la maharage
 
Akili ndogo na akili kubwa ni sawa na sterio na mono, kamwe haziwezi kuchanganyika.
 
Akili ndogo na akili kubwa ni sawa na sterio na mono, kamwe haziwezi kuchanganyika.

Meaning what sasa?

Mono au monaural audio technology japokua inatoa imperfect sense ya human voice inafaa sana kwa speech maana ni sauti moja inasikika na ni low-fidelity.

Tofauti na stereo ambayo vyombo vyote vinasikika!Alan Blumlein alifanikiwa ku-recreate multi direction ya sound field ndio maana mziki unasikika wote kama ulivyo ukiwa umejaa!

Hii nayo ikawa ni revolutionary technology 1931!

Ila vyote hivo ni uchafu maana ni ma-analogy signals yamejaa noise!

Zote ni nonsense!

Ikaja Digital audio technology kwa kutumia laser recording technology 1980’s.

Digital ikafanya noise zooote zikatolewa kitu kikawa kinatoka bila noise!

Sasa nashindwa kuelewa unasifia mi-technology ya zamani yote mawili sijui unatafuta nini humo?

Na sijui mixing za Mono na Stereo zinatokea wapi wakati ni totally different technologies!
 
Huyo hatakujibu.
 
Achana kabisa kupeleka biashara Kenya kama bado unapenda kuendelea kuishi hapa duniani, hao jamaa ni makatili wa kupitiliza, bora ufikirie masoko ya Rwanda, Zambia, Malawi na Zimbabwe, huko kuna Soko kubwa sana la finished goods.
The way you speak about Kenya, someone might think you have a first experience with Kenya when I'm sure you've never left the vijiwes of Tandale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…