Umekua mpiga ramli sio?, kwamba ndege hazitienda South Afrika hadi walipe deni. Nikuulize swali, hivi deni la bilioni 10 za kitanzania ndio linaweza kusitisha safari za ndege zenye kutengeneza faida ya hiyo bilioni 10 kwa miezi mitatu tu ya hiyo route?.
Kuhusu kwenda DRC, nani amekuambia watu hawaendi huko, lakini ni muhimu nchi kutoa tahadhari kwa raia wake, kama ambavyo nimempa tahadhari huyo muuliza swali, kwamba kama ataamua kwenda basi ajue kuna hilo tatizo na achukue tahadhari.
Nani asiyejua kwamba kuna UKIMWI na tahadhari zinatolewa lakini bado kuna watu vichwangumu kama wewe wanaendelea kutiana bila kondomu?, lakini hiyo haina maana kwamba watu wasipewe tahadhari eti sio watu wote wenye UKIMWI.
Kitu ninachokiona hapa ni kwamba uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana, Mimi niliposema ninawajua watu watatu waliouliwa Kenya kwasababu ya kudai pesa zao, sikusema waliuliwa wote siku moja, tena wakati huo huo, kama ingetokea hivyo, tena sehemu za mijini ambako kuna vyombo vya habari ndio ungeuliza kuhusu links, kama ni tukio moja moja tena linatokea vijijini wakidaiana, tena watu wadogo kama wewe wakikuchinja huko porini, hivi ni chombo gani cha habari kitajisumbua kuandika taarifa zako wewe peke yako mtu ambaye huna umuhimu wowote katika jamii?.
Usiulize kupewa haki kabla ya wewe kutoa haki, Mimi nimekuambia kuhusu uzoefu wangu wa Kenya, kwanini unaomba links za uzoefu wangu, lakini unahisi wewe hupaswi kutoa link za uzoefu wako?.unahisi uzoefu wako haupaswi kutoa ushahidi, lakini unataka tukuamini, ila Mimi sipaswi kuzungumza mipaka nitoe ushahidi. Stupid
Wewe ni CcM government apologist,which is okay!
Na mimi sio government apologist!
Siamini serikali ikitamkacho mzee,wewe amini ni haki yako!
Eti kiserikali cha TZ ndio kinajua usalama sana wakati mashirika yote ya ndege Africa yanaenda Jo’burg kama kawaida halafu nimuamini mpuuzi yeyote wa serikali ya Jiwe?
Mkuu,Oliver Tambo’s Airport is most busiest airport in the whole of Africa combined!
Nigerian Air yenyewe walienda japo wao ndio waliouawa!
Mkuu,Xenophobia iishe isiishe ATCL haikanyagi pale mpaka mkulima alipwe maana anaweza irudia!
Unaona 10Bilion ni ndogo eti kwa mauzo ya ATCL kwenda Jo’burg?
Hivi unajua mauzo ya tiketi ya ATCL kwenda Jo’burg ni kiasi gani au unaongea tu?
Na plus,ATCL is pumping loses,has never and will never ever be profitable on this earth!
Nimekunyima haki gani?Kukuuliza swali ni kukunyima haki?
This is new to me!
Serikali aj taasisi kutoa taadhari ya ugonjwa sio kukataza watu wasisafiri mzee.Ni kutoa awareness ili watu wawe makini kufanya preventive measures personally!
Uwezo wangu wa kujenga hoja ni mdogo?Umesema wewe?
Na unadhani nitegemee wewe competitor wangu useme najua kujenga hoja?Hell no!
Na pia,mchezaji wewe,mshitaki wewe na mtoa hukumu wewe kua sijui kutoa hoja!
Kwanini tusichukue third part yeye ndio atoe objective judgement between us?