Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Mbona sipika anajiamulia mambo kinyume na katiba na sheria mnamwangalia tu?Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani
Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza wizara inaongonzwa na mtu msomi Tena kasoma marekani sehemu tunayo amini kapata uweledi wa kuendesha Mambo kumbe hamna kitu kabisa
Ifike mahali. Tutenganishe siasa na Mambo ya kiweledi mpira ni watu ikifika point mashabiki tunadharaulika aise itakuwa shidaa Sana mbeleni viwanja vitakuwa tupu
Kuna dada alienda kusoma korea 5 years akarudi mzee wake akamwambia anataka kumpa 100M afanye anachotaka nadhani yule mzee ndio siku alitambua binti yake ni bomu la nuclear baada ya kumwambia anataka kufungua saloon na boutique.Exposure bila kujiongeza ni kazi bure.Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani
Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza wizara inaongonzwa na mtu msomi Tena kasoma marekani sehemu tunayo amini kapata uweledi wa kuendesha Mambo kumbe hamna kitu kabisa
Ifike mahali. Tutenganishe siasa na Mambo ya kiweledi mpira ni watu ikifika point mashabiki tunadharaulika aise itakuwa shidaa Sana mbeleni viwanja vitakuwa tupu
Tumemaindi si kwa sababu imesogezwa mbele, bali kuna dharau fulani hivi wananchi tumeonyeshwa na serikali. Kwamba inaweza kupoteza muda wa watu bila kutoa sababu yoyote ya maana halafu isijali hata kuja kuclarify issue!Heheeee hii ya mechi kusogezwa mbele naona watu mmeimaindi sana!
Japo kwangu si big deal kivile…
Ila naelewa…
I hear you!Tumemaindi si kwa sababu imesogezwa mbele, bali kuna dharau fulani hivi wananchi tumeonyeshwa na serikali. Kwamba inaweza kupoteza muda wa watu bila kutoa sababu yoyote ya maana halafu isijali hata kuja kuclarify issue!
Kuna mtu katoka Kigoma hadi kwa miguu unasema nini weweHeheeee hii ya mechi kusogezwa mbele naona watu mmeimaindi sana!
Japo kwangu si big deal kivile…
Ila naelewa…
Kwa ajili ya Simba na Yanga?Kuna mtu katoka Kigoma hadi kwa miguu unasema nini wewe
Mnataka kujikuta mmemsahau yule msukuma aliyekuwa anamwaga mabilioni barabarani??Kuna wazanzibari wawili Leo walikuwa wanapena zawadi ya milioni 450 ya birthday, nasikia hao ndo waliamuru mechi isogezwe mbele, Mana Tanzania Sasa ipo chini yao
Naunga mkono mkuu.Tumemaindi si kwa sababu imesogezwa mbele, bali kuna dharau fulani hivi wananchi tumeonyeshwa na serikali. Kwamba inaweza kupoteza muda wa watu bila kutoa sababu yoyote ya maana halafu isijali hata kuja kuclarify issue!
Shida ya ile Wizara ni huyu jamaa anaeitwa Abbas yule bila kutoka pale hakuna kitu kitafanyika, hata Msigwa kabanwa na jamaa ni tatizo kubwa hafai kabisaLeo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani
Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza wizara inaongonzwa na mtu msomi Tena kasoma marekani sehemu tunayo amini kapata uweledi wa kuendesha Mambo kumbe hamna kitu kabisa
Ifike mahali. Tutenganishe siasa na Mambo ya kiweledi mpira ni watu ikifika point mashabiki tunadharaulika aise itakuwa shidaa Sana mbeleni viwanja vitakuwa tupu
Unaambiwa eti huyo ndiyo kijana smart wa ccmLeo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani
Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza wizara inaongonzwa na mtu msomi Tena kasoma marekani sehemu tunayo amini kapata uweledi wa kuendesha Mambo kumbe hamna kitu kabisa
Ifike mahali. Tutenganishe siasa na Mambo ya kiweledi mpira ni watu ikifika point mashabiki tunadharaulika aise itakuwa shidaa Sana mbeleni viwanja vitakuwa tupu
Nimepata somoKuna dada alienda kusoma korea 5 years akarudi mzee wake akamwambia anataka kumpa 100M afanye anachotaka nadhani yule mzee ndio siku alitambua binti yake ni bomu la nuclear baada ya kumwambia anataka kufungua saloon na boutique.Exposure bila kujiongeza ni kazi bure.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ccm mavii matupuUnaambiwa eti huyo ndiyo kijana smart wa ccm
Etiiii tajirii anaongezewa gari ha ha ha daaaahKuna wazanzibari wawili Leo walikuwa wanapena zawadi ya milioni 450 ya birthday, nasikia hao ndo waliamuru mechi isogezwe mbele, Mana Tanzania Sasa ipo chini yao
Uko sahihi jamaa wamekuja na sababu ya kijinga kabisa,bila kujali wananchiTumemaindi si kwa sababu imesogezwa mbele, bali kuna dharau fulani hivi wananchi tumeonyeshwa na serikali. Kwamba inaweza kupoteza muda wa watu bila kutoa sababu yoyote ya maana halafu isijali hata kuja kuclarify issue!
"Msomi wa Marekani"?Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza wizara inaongonzwa na mtu msomi Tena kasoma marekani sehemu tunayo amini kapata uweledi wa kuendesha Mambo kumbe hamna kitu kabisa