Wanayaona ya mechi kusogezwa mbele tu. Nchi ya watu wenye akili ndogo humaindi vitu vidogo.Mbona sipika anajiamulia mambo kinyume na katiba na sheria mnamwangalia tu?
Wanayaona ya mechi kusogezwa mbele tu. Nchi ya watu wenye akili ndogo humaindi vitu vidogo.Mbona sipika anajiamulia mambo kinyume na katiba na sheria mnamwangalia tu?
Kama ni kweli hivi ni kukosa kazi? Au mapenzi na mpira? KhaaKuna mtu katoka Kigoma hadi kwa miguu unasema nini wewe
Bhana yanii imenishangaza kweli kweli tatizo la Elimu siyo Mfumo ni mtu binafsi huyu kasoma America Ila bogus"Msomi wa Marekani"?
Huyo mtu kasoma nini huko na chuo kipi asiweze hata kujuwa umuhimu wa taratibu na mpangilio wake?
Unajua tatizo ni nini?Bhana yanii imenishangaza kweli kweli tatizo la Elimu siyo Mfumo ni mtu binafsi huyu kasoma America Ila bogus