Exposure kumbe Haina tija yoyote kwenye uongozi

"Msomi wa Marekani"?

Huyo mtu kasoma nini huko na chuo kipi asiweze hata kujuwa umuhimu wa taratibu na mpangilio wake?
Bhana yanii imenishangaza kweli kweli tatizo la Elimu siyo Mfumo ni mtu binafsi huyu kasoma America Ila bogus
 
Bhana yanii imenishangaza kweli kweli tatizo la Elimu siyo Mfumo ni mtu binafsi huyu kasoma America Ila bogus
Unajua tatizo ni nini?
Ni kujipendekeza.
Waziri ni mshauri wa mkuu wake aliyemteua. Inatakiwa waziri atoe ushauri hata akipewa amri, ni lazima awe ametoa ushauri makini kumwonyesha huyo boss wake kwa nini amri hiyo inaweza kuleta taharuki katika jamii.
Lakini kwa kujipendekeza na kwa kujua mkubwa hahojiwi, hasa kutokana na katiba yetu hii mbovu, basi jamaa wanajipigia tu mradi liende.

Kwa kawaida, jambo kama hili la mchezo wa Simba na Yanga, aliyehusika na uamzi huo asingekuwa bado yupo ofisini wakati huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…