ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Diamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.
Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.
Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.
Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.
Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.