Kaandika na yeye aonekane ameandikaSijasoma ulichoandika ila sidhani kama wewe unambitious EXPOSURE Diamond.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaandika na yeye aonekane ameandikaSijasoma ulichoandika ila sidhani kama wewe unambitious EXPOSURE Diamond.
Huyo Tedd Boehly kamwaga paundi bilioni moja kwenye dirisha moja tu la usajili, na kama sio sheria zao za FFP angemwaga bilioni moja nyingine dirisha lililopita, kuna watu wana mipesa mpaka wanatamani kuitupa mbali.Mwanza Kule kuna watu wana mikwanja ,Arusha huko nako wapo Dar ndio kbsaaa na wote wala hajawakarbia kimkwanja hpo kuwa tu tajiri namba 1 wa Tz ni kimbembe kwake.
Kina Drogba, Akon ,Samwel Eto'o wanamiliki migodi mikubwa sana huko makwao na wamejengea vijiji vyao mahospital, shule, umeme endelevu lkn ht top 500 Africa hawapo.
Ronaldo, Messi, Mbappe, Mansour mmiliki wa Man city, Toddy Boehly mmiliki wa Chelsea wana mikwanja mirefu ila top 500ya matajiri wa dunia hawapo kbs, Jiulze kwa huyu msela wetu! Watu wakishatunza B10 Bank wanahisi tyr ni matajiri ooh!
Povu la niniDiamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi , lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.
Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo , nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.
Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.
Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.
Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato
Mwambie ahame kwanza lile gorofa la kupanga mbezi.Diamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi , lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.
Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo , nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.
Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.
Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.
Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato
Hyo Paundi billion 1 ikiletwa Tz kujenga mkoa mmoja huo mkoa kunakuwa kama ulaya 😁Huyo Tedd Boehly kamwaga paundi bilioni moja kwenye dirisha moja tu la usajili, na kama sio sheria zao za FFP angemwaga bilioni moja nyingine dirisha lililopita, kuna watu wana mipesa mpaka wanatamani kuitupa mbali.
Sio chuki binafsi domo ni masikini kama masikini wengine. Ila ww chawa unaweza ona ana hela kumbe jamaa ni mavi ya bataMkuu wewe unachuki binafsi kumbe...
Hata kwenye listi ya matajiri 5000 bongo hayumoAcha chuki boya wewe kwani hata asipokuwa tajiri namba 1 si sawa maana ni ndoto Kuna mawili kutumia au kutotimia
Kusafiri nje ya nchi hasa Ulaya, Marekani na Australia. Na kupiga picha na kuposti umevaa Adidas au Nike huku umeshika iPhone.Hili neno 'exposure' linachezewa sana kwani lina maana gani hasa?
Vijana wengi wa tanzania elimu na exposure vinawapa tabu hautaelewa point ya mleta madaBado D moja utakuwa mchawi kamili mkuu ongeza juhudi........
nAhis alikuwa kalewaMwanza Kule kuna watu wana mikwanja ,Arusha huko nako wapo Dar ndio kbsaaa na wote wala hajawakarbia kimkwanja hpo kuwa tu tajiri namba 1 wa Tz ni kimbembe kwake.
Kina Drogba, Akon ,Samwel Eto'o wanamiliki migodi mikubwa sana huko makwao na wamejengea vijiji vyao mahospital, shule, umeme endelevu lkn ht top 500 Africa hawapo.
Ronaldo, Messi, Mbappe, Mansour mmiliki wa Man city, Toddy Boehly mmiliki wa Chelsea wana mikwanja mirefu ila top 500ya matajiri wa dunia hawapo kbs, Jiulze kwa huyu msela wetu! Watu wakishatunza B10 Bank wanahisi tyr ni matajiri ooh!
saivi nikiona mtu anapenda kusema exposure najua atakuwa na ushambaKusafiri nje ya nchi hasa Ulaya, Marekani na Australia. Na kupiga picha na kuposti umevaa Adidas au Nike huku umeshika iPhone.
Juz nilivypost video mwijaku akijiabisha NY members walinicheka sana simu nikawashangaa sana thed weld dwellers laiti wangejuwa.
gammaparticles