Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Kuna watu watabisha na kupinga ila mwijaku kaongea points mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Habari za tajiri muulizie maskini. Kila maskini anamsifia bwanaake.
Kufanya nao biashara ndo kunakufanya ujue kiasi cha hela walichonacho?Nafanya nao biashara jamaa hawana tabu kabisa kwenye kulipa sema hawapendi kuongea
Wewe malengo yako ni yapi?Malengo Gani ya kufikirika, basi aoneshe hata juhudi za kutekeleza hayo
😅😅😅😅Inakuathiri vipi kwenye majukumu yako ya kila siku?
😅😅😅😅Wewe umejuaje wana hela?
Wewe ni mhasibu wao?
🤣🤣🤣umesema una Billion 2, wenye billion mbili huwa hawahangaiki kujadili watu,
wenye buku buku za karibu ndo tunatabia ya kujadili watu😂😂
Dah! Nimecheka sana aisee ukitaka kujua watu wenye hali ya chini utawajua kwenye mijadala kama hiiwenye buku buku za karibu ndo tunatabia ya kujadili watu😂😂
Mwacheni bwana Kila mtu na ambition's zake..Kwani wewe zako ni zipi...?Diamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.
Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.
Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.
Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.
Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.
Muendage shule mkatoe ujinga kwanzaNaamini ndoto yake itatimia. Jamaa anafanya kazi nzuri sana.
Sasa kutokuwa miongoni mwa matajiri 1,000 kwa sasa Tanzania kunazuiaje kuzisema ndoto zake? Mtu anaweza kuwa na ndoto ya kuifikia hata kama hana sumuni na hili halihitaji exposure.Diamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.
Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.
Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.
Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.
Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.
Kama kweli ana nia ya utajiri, aanze kuonesha dalili.Diamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.
Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.
Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.
Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.
Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.
Mond itakua hajui $1B ikoje,sasa musk ana 150+,mo dewj 1.5, alifanikiwa kufika $2B atajua shughuli ya kumfikia dangote mwenye 13 achilia mbali musk, tatizo katokea umasikini wa kutupwa,alichonacho anaona kingiHyo ni plan yake...anataka hivyo akishindwa ni sawa lakin amejaribu...ulitaka asiwe na malengo?
Kasema anandoto ..asa unaanza uchawi mapema hiviDiamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.
Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.
Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.
Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.
Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.
Awadh namkumbuka akicheza tembo nzega,winga mahiri,leo kawa bilionea!Tatizo watanzania wanapenda kuongopewa. Wanasiasa na manabii feki hujipigia hela kwa huu ujinga uliopo. Diamond karopoka hadharani lazima akosolewe hadharani. Unataka kuwa tajiri namba 1 halafu unanunua rolls royce ya 2b huku ukiishi nyumba ya kupanga? Aache upumbavu aisee. Hao walioko kwenye top ten wamefanya vitu vya kipekee sana kuwa pale walipo.. kikawaida ni ngumu sana. Kuna watu kama kina Asas, Gsm, Oveland (Awadh) wametandaza malori kutoka Tunduma hadi Dar na hawatajwi hata top 5 ya matajiri hapa nchini.