Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

Mond itakua hajui $1B ikoje,sasa musk ana 150+,mo dewj 1.5, alifanikiwa kufika $2B atajua shughuli ya kumfikia dangote mwenye 13 achilia mbali musk, tatizo katokea umasikini wa kutupwa,alichonacho anaona kingi
😂😂😂 mkuu yani 1B usd unaweza kuona ni hela ndogo sana ila mziki wake haha. Hela ya mmarekani iheshimiwe.
 
Diamond ni mwananchi mwenye kipato cha kati na umaarufu ila ndoto ya kuwa tajiri namba moja hapo kinondoni tu huwenda akafa bila kuifikia kwa sababu ni kama yuko kwenye
 
Kwa miaka ambayo Diamond amekuwa kwenye hili game la mziki na mahusiano yake na watu wa nchi nyingine, exposure anayo kubwa sana

Huhitaji miaka elfu kupata exposure, toka miaka ile aliyoanza kujichanganya na wasanii wa nje ya nchi amepata exposure kubwa sana

Issue ya kuwa tajiri namba 1 ni ambition ambayo anayo, haina maana itatimia

Ila ukweli si ni jambo jema kujitakia mazuri na kujinenea mema?
Basi ana kila sababu ya kufanya hivyo
Kuna jumba linauzwa Mbweni JKT Billion 8 = USD 3M km bwana Mondi kweli ana mpunga achukue lile Jengo kuanzia siku hio nitakupigia salute,mfikishie habari atoe Billion 8 anunue lile Jengo km kweli anazo kinyume na hapo awe km Bakhresa tu apunguze kelele mara 800 akae kimya tu kwani atapungukiwa na nini?
 
Watanzania bwana . Kwani kuwa bilionea ni kununua vitu hovyo? Ulisikia wapi? Na nani kawadanganya kuwa na malengo ya kufikia mafanikio fulani tayari unakuwa umefikia inabidi uonyeshe uwezo wako?

Kila mtu ana dream house, car na investment. Haina maana hivyo wanavyo tayari. Kama wangekuwa navyo basi kulikuwa hakuna haja ya kuwa na dreams za kufika huko.
 
Ile Ndege IPO Wapi? Emu tuanzie hapo maana mbwatukaji umenigikia haya tolea maelezo Ile Ndege yake imefikia Wapi? Au ndio? Ndio maana Watoto wa Said Awadh walikua wanamponda kule Beach that day
 
Kuna jumba linauzwa Mbweni JKT Billion 8 = USD 3M km bwana Mondi kweli ana mpunga achukue lile Jengo kuanzia siku hio nitakupigia salute,mfikishie habari atoe Billion 8 anunue lile Jengo km kweli anazo kinyume na hapo awe km Bakhresa tu apunguze kelele mara 800 akae kimya tu kwani atapungukiwa na nini?
mi ndio maana nakuambia wewe bado wa kuja au dogo wa 2000 ukijitahidi wa 95. ona ulichoandika..si utoto huu
 
Watapinga kwa ajili ya Mahaba
Dunia hiyo anayoisema ni ipi huyu Dogo?
Kuna jamaa zangu wana mkwanja ila hawawezi kujisifia hata siku moja na wapo wapo tu
Hivi anaijua hata list ya matajiri Tz au anatafuta madem kwa maneno haya
 
mi ndio maana nakuambia wewe bado wa kuja au dogo wa 2000 ukijitahidi wa 95. ona ulichoandika..si utoto huu
Ile Ndege IPO Wapi? Emu tuanzie hapo maana mbwatukaji umenigikia haya tolea maelezo Ile Ndege yake imefikia Wapi? Au ndio? Ndio maana Watoto wa Said Awadh walikua wanamponda kule Beach that day
 
Ile Ndege IPO Wapi? Emu tuanzie hapo maana mbwatukaji umenigikia haya tolea maelezo Ile Ndege yake imefikia Wapi? Au ndio? Ndio maana Watoto wa Said Awadh walikua wanamponda kule Beach that day
Umenigikia ndio nin wewe ambaye sio mbwatukaji? Tuliza ubongo acha kubwabwaja.

Kuna shida gani mtu kuwa na ndoto za kufikia mafanikio fulani? Mnataka aishi kama roboti? Kila binadamu ana sehemu ya mafanikio anayotaka afikie na si dhambi.
 
Diamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.

Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.

Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.

Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.

Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.

Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.
Umeandika vema, wengine tuko gizani. Hivi Huwa afanya biashara gani /ana biashara gani? nielimishe idogo
 
NGOJA TEAM LOKOLE WATAKAVYOKUJAMBIAKWENYE HUU UZI
 
Back
Top Bottom