Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wewe ni tajiri kweli??
Mbona kama wewe na huyo Diamond mna act the same.
Mbona kama wewe na huyo Diamond mna act the same.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa mwijaku anang'ata na kupuliza..wakikutana na Mondi anampigia magotiMtu amesema ana ndoto we inakuuma nini?, Mkuu punguza chuki binafsi au wewe ndiyo 👇
View attachment 3087749
Kabisa..huyo jamaa atakua mchawi tena ataongoza wenzake kitengo cha chuki, husda, wivu, roho mbaya...e.t.cBado D moja utakuwa mchawi kamili mkuu ongeza juhudi.
Wewe utakua mchawi! Sijui hata hao marafiki zako wanawezaje kuishi na weweDiamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.
Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.
Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.
Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.
Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.
Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.
Wewe umejuaje kwenye matajiri 100 wa Tanzania yeye hayupoDiamond karopoka bangi sio nzuri yaan kimantiki ni ngumu hawezi kuwa tajiri no 1 hata akiishi miaka 1000 kwa exposure yake
Sheria ya ulimwemgu inasema kama huwezi na hujawahi kupata 50 katika jambo lako usitegemee kupata 100
Tafuta 10 kisha 30 kisha 50 kisha 70 kisha 90 kisha 100
Sasa wewe hata matajiri 100 Tanzania haupo unataka uwe no 1 duniani
Kwanini asifikirie kuwa tajiri no kwanza Bongo kisha Africa
Mfano Dangote akisema nataka kuwa tajiri no 1 duniani unamuelewa sio Diamond wakina Pidddy Na Jay Z pamoja na kuwa exposure zote hata orodha ya kufikiria kuwa tajiri no 1 wanajua ngumu
Tunaishi kwa ndoto lkn sio ndoto hizo hayo ni matumizi mabaya ya akili au madawa
Huwezi kufikiria kupata 100 kama hujawahi kupata hata 50 pata kwanza 50 kuwa Tajiri no 1 Tz
😅😅😅Wewe utakua mchawi! Sijui hata hao marafiki zako wanawezaje kuishi na wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado D moja utakuwa mchawi kamili mkuu ongeza juhudi.
Na ww umejuaje kama katika matajiri 100 Tanzania yupo maana mm nimesema hayupo kwakuwa bado anajitafutaWewe umejuaje kwenye matajiri 100 wa Tanzania yeye hayupo
Hakuna sehemu nimesema yupo kwenye 100 au hayupo wewe ndio umepngea as if una ushahidi ndio maana nimekuuliza hivyo, ila mwanangu acha wivu diamond anajitafuta? Mbona kama unatupangaNa ww umejuaje kama katika matajiri 100 Tanzania yupo maana mm nimesema hayupo kwakuwa bado anajitafuta
Hawezi kuwa tajiri no 1 kwakuwa hajawahi kujiweka katika matajiri kwanza kabla ya kifikiria dunia inatakiwa awe tajiri no 1 Tanzania kwanza hapa penyewe bado anawaza duniani ona mantki yangu kama unataka ubishi endelea mm nakuacha ila kwa exposure yake hata aishi miaka 1000 hawezi kuwa tajiri no 1 dunianiHakuna sehemu nimesema yupo kwenye 100 au hayupo wewe ndio umepngea as if una ushahidi ndio maana nimekuuliza hivyo, ila mwanangu acha wivu diamond anajitafuta? Mbona kama unatupanga
Wewe umejuaje kwenye matajiri 100 wa Tanzania yeye hayupo